Nikiri lile tusi mbumbumbu ni kama nalielewa sana kwa sasa.
Wakati wanabadili mwalimu timu ikiwa inafanya vizuri wengine tulipiga kelele.Binafsi nilipiga kelele kwa Mo kuleta mzungu kama mwalimu.
Si kwamba nawachukia wazungu, ila ni mtu asiye na akili pekee anaeweza kuamini kocha anaweza kuleta mabadiliko ya siku 2 na timu ikafanya vizuri.
Kocha yoyote hata akiwa mzuri,anapopewa timu ni lazima ihangaike sana hadi kuupata mfumo sahihi labda kama anawajua vyema wachezaji.
Katika jicho la kawaida tu, kwa mwalimu hata wa stand united hawezi kumchezesha Boko dakika zote hizi.Huyu Boko hata ukimpeleka Ihefu, atakalia benchi.Unamwachaje Baleke nje?
Unamwachaje Phiri nje na unampa nafasi Sakho anayefanya maskhara tu kila wakati?
Mashabiki mlimshabikia sana mzungu na mkampa uenyekiti kwa Mara nyingine mangungo.
Mechi ya yanga tutachezea koki na tutalowa.
Ni kuzoea tu ukweli