Nawashangaa sana wanaomlazimisha Diamond aoe

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Kuna watu wamekuwa wakimsema sana sadala kwamba anatakiwa sasa aoe, huwa siwaelewi hawa watu wanamtakia nini jamaa yetu.

Yani kijana ana watoto 4 wanaofahamika tayari, ana mali zake za kumwezesha kuishi vizuri na wanae tayari, na bado ana nguvu ya kuendelea kutafuta mali zaidi alafu wako watu wanakuja kumlazimisha atafute mwanamke wa kuja kugawana nae mali hivi mnaa akili nyie kweli?

Kwani lengo la kuoa si kuanzisha familia na kuzaa watoto sasa mtu watoto kajaaliwa, familia anayo, mali kapata na ana nguvu ya kutafuta, huduma za mke ana uhakika nazo kupata sasa manamtakia gundu la nini kijana aoe wakati watoto tayari anao wa kutosha.

Mimi nawashauri wamuache kijana aendelee kutafuta mali wakati nguvu anazo, aoshe rungu lake vya kutosha atakuja kuoa uzeeni huko atakapohitaji mtu wa kumbadilisha pampers, vilevile wenye hela wanaweza ajili mabinti kwa kazi hiyo vilevile.

Ila kwa sasa aachane na drama za ndoa zisizo na lazima kwani kila anachokihitaji kwenye ndoa tayari anacho aongeze nguvu kutafuta mali zaidi wanae waje waishi vizuri, aachane na ujinga wa wanaomuambia atafute mke wa kugawana nae mali zake

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Kama una dini inayomwamini M/Mungu em tuambie,wanaomshauri sadala kuoa hawana akili M/Mungu aliyeweka hii sheria kiwango chake cha akili kipo low kiasi gani?
 
Ya nini kufuga ng'ombe wakati ukihitaji nyama unapata buchani... Maziwa ndio usiseme hata Dukani kwa mangi unapata
 
Kama una dini inayomwamini M/Mungu em tuambie,wanaomshauri sadala kuoa hawana akili M/Mungu aliyeweka hii sheria kiwango chake cha akili kipo low kiasi gani?
Kama mungu ndiyo alisema tuoe mbona dini nyingine zina sheria tofauti tofauti za ndoa mara wake wanne mara moja. Acheni kumsingizia mungu hata kuku ni viumbe wake pia haiwezekani sheria za ndoa ziwe za binadamu tu.

Ningekuwa sadala ningekuwa kama P.Diddy tu hakuna kuoa kama tayari unafamilia.

Wanawake wenyewe wakiwa na cheo hawataki kuolewa hadi wanazeeka alafu sisi ndiyo tunalazimishwa tuoe wakati tuna hela na watoto tunao.
 
Mada za aina hii zinanikumbusha na kunizidishia machungu ya kuondokewa na Warumi, RIP
 
Ili tusifike mbali wewe ni mfuasi wa dini yoyote?
Hasa kati ya hizi ukristo/uislam?
 
Siku atakayooa ndio anashuka kimuziki .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…