JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Kuna watu wamekuwa wakimsema sana sadala kwamba anatakiwa sasa aoe, huwa siwaelewi hawa watu wanamtakia nini jamaa yetu.
Yani kijana ana watoto 4 wanaofahamika tayari, ana mali zake za kumwezesha kuishi vizuri na wanae tayari, na bado ana nguvu ya kuendelea kutafuta mali zaidi alafu wako watu wanakuja kumlazimisha atafute mwanamke wa kuja kugawana nae mali hivi mnaa akili nyie kweli?
Kwani lengo la kuoa si kuanzisha familia na kuzaa watoto sasa mtu watoto kajaaliwa, familia anayo, mali kapata na ana nguvu ya kutafuta, huduma za mke ana uhakika nazo kupata sasa manamtakia gundu la nini kijana aoe wakati watoto tayari anao wa kutosha.
Mimi nawashauri wamuache kijana aendelee kutafuta mali wakati nguvu anazo, aoshe rungu lake vya kutosha atakuja kuoa uzeeni huko atakapohitaji mtu wa kumbadilisha pampers, vilevile wenye hela wanaweza ajili mabinti kwa kazi hiyo vilevile.
Ila kwa sasa aachane na drama za ndoa zisizo na lazima kwani kila anachokihitaji kwenye ndoa tayari anacho aongeze nguvu kutafuta mali zaidi wanae waje waishi vizuri, aachane na ujinga wa wanaomuambia atafute mke wa kugawana nae mali zake
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app