Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Nani anafaa
Makonda? Inategemea ni kina nani wanasema hivyo!Baada ya DW na BBC kumtangaza kwamba Nchimbi amejiuzulu,naanza kuamini kwamba hizi habari ni kweli.
Lakini watu wanasema ati Makonda awe VP.
This is absurd.
The man is arrogant.
Halafu ni mhalifu wa Kimataifa. Hata State Department wanajua.
Lakini wakati Wammasai wanalalamika kuporwa makazi yao,yeye akaenda Dubai.
Toka alivyorudi kutoka Dubai tunamuona anatabasamu sana.
Halafu tulimuona kapiga picha amempakata mdada fulani.
Ni Bora Nchimbi aendelee kuwa Makamu wa Rais.
Samia alikuwa ana hakika CCM hawamtaki.
Mbona basi aling'ang'ania kuwa Rais baada ya Magufuli kufariki?
Tuko pamoja kaka Andrew NyerereBaada ya DW na BBC kumtangaza kwamba Nchimbi amejiuzulu,naanza kuamini kwamba hizi habari ni kweli.
Lakini watu wanasema ati Makonda awe VP.
This is absurd.
The man is arrogant.
Halafu ni mhalifu wa Kimataifa. Hata State Department wanajua.
Lakini wakati Wammasai wanalalamika kuporwa makazi yao,yeye akaenda Dubai.
Toka alivyorudi kutoka Dubai tunamuona anatabasamu sana.
Halafu tulimuona kapiga picha amempakata mdada fulani.
Ni Bora Nchimbi aendelee kuwa Makamu wa Rais.
Samia alikuwa ana hakika CCM hawamtaki.
Mbona basi aling'ang'ania kuwa Rais baada ya Magufuli kufariki?
Utaambiwa kwani anakuwa Makamu wa Rais wa Marekani?Baada ya DW na BBC kumtangaza kwamba Nchimbi amejiuzulu,naanza kuamini kwamba hizi habari ni kweli.
Lakini watu wanasema ati Makonda awe VP.
This is absurd.
The man is arrogant.
Halafu ni mhalifu wa Kimataifa. Hata State Department wanajua.
Lakini wakati Wammasai wanalalamika kuporwa makazi yao,yeye akaenda Dubai.
Toka alivyorudi kutoka Dubai tunamuona anatabasamu sana.
Halafu tulimuona kapiga picha amempakata mdada fulani.
Ni Bora Nchimbi aendelee kuwa Makamu wa Rais.
Samia alikuwa ana hakika CCM hawamtaki.
Mbona basi aling'ang'ania kuwa Rais baada ya Magufuli kufariki?
We ni kijana wake? Au mshabiki na mpenzi wa huyo mzee wetu?Tujo pamoja kaka Andrew Nyerere
Hata ukijua itakusaidia nini kwenye harakati zako za kupambana na umaskini?We ni kijana wake? Au mshabiki na mpenzi wa huyo mzee wetu?
Bashite haiwezekani, pale anatakiwa mwenye akili ili aweze kumsaidia mamaBaada ya DW na BBC kumtangaza kwamba Nchimbi amejiuzulu,naanza kuamini kwamba hizi habari ni kweli.