Nawashangaa wanaosema Makonda anafaa kuwa Makamu wa Rais

Makonda? Inategemea ni kina nani wanasema hivyo!
Makonda kwanza umri ni mdogo sana, na anaweza akawa anawaza urais, huyo hafai!
 
Tuko pamoja kaka Andrew Nyerere
 
Utaambiwa kwani anakuwa Makamu wa Rais wa Marekani?
 
Kwa sasa CCM haina aibu! Inaweza kumchagua ili mradi awe anakubaliwa na Mzee wa Msoga.
 
Bashite haiwezekani, pale anatakiwa mwenye akili ili aweze kumsaidia mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…