Mie nawashauri wamchukue BarazaKwa watu ambao wanajua tactics za mpira vizuri watakubaliana na mimi
Yule kocha wa geita golden ni kocha mzuri sana na ana mpira wa kisasa zaidi
Ukicheki jinsi geita golden wanavyo cheza
Wangelikuwa timu ambayo ina wachezaji wakubwa zaidi kama young, simba, na Azam kuna watu ambao wangelikuwa wanakula goli 3 mpaka 5
Ninacho mpendea yule kocha hanaga mambo ya pass sijui tik tak yeye anajua kushambulia tu awe amefungwa, awe amefunga awe amedroo yeye ni kushambulia tu uo ndo mpira wa kisasa mambo ya tik tak ata barcelona wenyewe wamesha sau tayari
Uko sahihi kabisa. Hata Ajibu naye ndani ya muda mfupi tu aliokaa Azam, aliota kitambi cha ajabu! Azam kuna tatizo bila shaka.Wachezaji wa AZAM wote wana vitambi sijui wanafanya mazoezi ya aina gani jana nilikuwa namuangalia ajibu naona anaanza kutoka kitambi na yeye yule kipa wao chigonya alikuwa na kitambi na yule wa zanzibar ana kitambi kocha wao kaanza kunenepa kiufupi AZAM hawana pressure ya matokeo.
unaeza shangaa akapewa timu kali ongala,kocha msaidiziHawa Makocha ndiyo wanaifaa Azam FC.
Minziro
Baraza
Matola
Mkwasa
Mpaka leo sijui yule sujui POPAT huwa yupo pale kwa ajiri ganiAzam shida ni uongozi wa kiswahili pale
Mie nawashauri wamchukue Baraza
hana sifa za kufundisha timu zinazocheza championship au confederationKwa watu ambao wanajua tactics za mpira vizuri watakubaliana na mimi. Yule kocha wa Geita gold ni kocha mzuri sana na ana mpira wa kisasa zaidi. Ukicheki jinsi Geita Gold wanavyocheza.
Wangelikuwa timu ambayo ina wachezaji wakubwa zaidi kama young, simba, na Azam kuna watu ambao wangelikuwa wanakula goli 3 mpaka 5.
Ninachompendea yule kocha hanaga mambo ya pass sijui tik tak yeye anajua kushambulia tu awe amefungwa, awe amefunga awe amedroo yeye ni kushambulia tu huo ndo mpira wa kisasa mambo ya tik tak hata barcelona wenyewe wamesha sau tayari.
hana sifa za kufundisha timu zinazocheza championship au confederation
Minziro ni Bora.Baraza ni bonge la kocha wakimpa hiyo azamu moto utawaka
Msomali hana mbinu mbadala za kutafuta ushindi,hizi mechi mbili walizocheza zinafanana na mechi walizopoteza hapo Azam complex, timu inaishiwa maarifa hana la kuelekeza na wachezaji wanabaki kupiga backpass nyingi zisizo na faida.unaeza shangaa akapewa timu kali ongala,kocha msaidizi