kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Kwa watu ambao wanajua tactics za mpira vizuri watakubaliana na mimi. Yule kocha wa Geita gold ni kocha mzuri sana na ana mpira wa kisasa zaidi. Ukicheki jinsi Geita Gold wanavyocheza.
Wangelikuwa timu ambayo ina wachezaji wakubwa zaidi kama young, simba, na Azam kuna watu ambao wangelikuwa wanakula goli 3 mpaka 5.
Ninachompendea yule kocha hanaga mambo ya pass sijui tik tak yeye anajua kushambulia tu awe amefungwa, awe amefunga awe amedroo yeye ni kushambulia tu huo ndo mpira wa kisasa mambo ya tik tak hata barcelona wenyewe wamesha sau tayari.