Nawashauri Azam sports club wamchukue yule kocha wa Geita golden

Msomali hana mbinu mbadala za kutafuta ushindi,hizi mechi mbili walizocheza zinafanana na mechi walizopoteza hapo Azam complex, timu inaishiwa maarifa hana la kuelekeza na wachezaji wanabaki kupiga backpass nyingi zisizo na faida.
hili hata mimi nimeliona
kali pale ni kocha wa washashambuliaji,km timu ina piga backpass means viungo hawana mbinu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…