Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
hili hata mimi nimelionaMsomali hana mbinu mbadala za kutafuta ushindi,hizi mechi mbili walizocheza zinafanana na mechi walizopoteza hapo Azam complex, timu inaishiwa maarifa hana la kuelekeza na wachezaji wanabaki kupiga backpass nyingi zisizo na faida.
kali pale ni kocha wa washashambuliaji,km timu ina piga backpass means viungo hawana mbinu