Nawashauri CCM punguzeni ujinga wenu , anzeni kuthamini nchi kwanza ndipo chama kifuate maana utetezi wa chama si kwa manufaa ya nchi bali mafisadi

polokwane

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2018
Posts
4,158
Reaction score
7,667
CCM na wafuasi wake hasa wafuasi mkumbo, tangulizeni taifa kwanza kwa manufaa ya vizazi vyenu huko mbeleni , chama chenu kwa sasa si kwa manufaa ya taifa wala wananchi wake eleweni hilo.
 
Hao watu hawajali chochote kuhusu taifa hili, wako tayari kufanya chochote ili wabaki madarakani
 
CCM na wafuasi wake hasa wafuasi mkumbo, tangulizeni taifa kwanza kwa manufaa ya vizazi vyenu huko mbeleni , chama chenu kwa sasa si kwa manufaa ya taifa wala wananchi wake eleweni hilo.
Usiwaashe kenge waliolala kwani hata wakiamka sii wasikivu.
 
Back
Top Bottom