Mkuu kwa nini haya maoni usiyapeleke kwenye tume ya katiba ili yafanyiwe kazi.CHADEMA should watch out:-
Bila katiba ya Tanganyika, uchaguzi 2015 utafanyika bila Tume Huru.
Nashauri Kwanza ipatikane katiba ya Tanganyika kabla ya katiba ya Muungano.
Ama Tume Huru ya uchaguzi ipatikane kwanza kabla ya Katiba ya Muungano.
Nina wasi wasi sana na Warioba.....!!!!
Mabaraza ya katiba ni ya CCM, bunge la katiba litakuwa la CCM, CCM hawataki serikali tatu kama ilivyopendekezwa na tume. Sijui hili zoezi litamalizika vipi.CHADEMA should watch out:-