Nawashauri CHADEMA kuwa makini na suala la katiba mpya

Nawashauri CHADEMA kuwa makini na suala la katiba mpya

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,957
Reaction score
3,245
CHADEMA should watch out:-

Bila katiba ya Tanganyika, uchaguzi 2015 utafanyika bila Tume Huru.

Nashauri Kwanza ipatikane katiba ya Tanganyika kabla ya katiba ya Muungano.

Ama Tume Huru ya uchaguzi ipatikane kwanza kabla ya Katiba ya Muungano.

Nina wasi wasi sana na Warioba.....!!!!
 
Unataka kumwongezea Kikwete muda wa kutawala asee hujamchoka?
Mpaka katiba ya Tanganyika (chini ya kikwete) ipatikane watanzania wengi watakuwa wameulimbokwa sana..........................
 
Cha msingi kama wakichelewesha katiba mpya katiba sheria ya tume ya uchaguzi ifanyiwe marekebisho.
 
CHADEMA should watch out:-

Bila katiba ya Tanganyika, uchaguzi 2015 utafanyika bila Tume Huru.

Nashauri Kwanza ipatikane katiba ya Tanganyika kabla ya katiba ya Muungano.

Ama Tume Huru ya uchaguzi ipatikane kwanza kabla ya Katiba ya Muungano.

Nina wasi wasi sana na Warioba.....!!!!
Mkuu kwa nini haya maoni usiyapeleke kwenye tume ya katiba ili yafanyiwe kazi.
 
CHADEMA should watch out:-

Bila katiba ya Tanganyika, uchaguzi 2015 utafanyika bila Tume Huru.

Nashauri Kwanza ipatikane katiba ya Tanganyika kabla ya katiba ya Muungano.

Ama Tume Huru ya uchaguzi ipatikane kwanza kabla ya Katiba ya Muungano.

Nina wasi wasi sana na Warioba.....!!!!
Mabaraza ya katiba ni ya CCM, bunge la katiba litakuwa la CCM, CCM hawataki serikali tatu kama ilivyopendekezwa na tume. Sijui hili zoezi litamalizika vipi.
 
Mungi ---- tumemchoka ila je hii katiba mpya itakamilika kabla ya uchaguzi na kutoa tume huru ya Uchaguzi?

Je kura ya Maoni itakuwaje maana sidhani kama kura itakuwa huru na Haki.

Je kwa nini tume hii haiandikishi wapiga kura wapya... Watu waliopoteza kadi wapo wengi sana Seuse vijana

Watch out
 
Back
Top Bottom