Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kuna mashabiki humu ni bendera. Jana Ally Salim kawa wa maana wakati ndiye aliyelaumiwa Mechi za Wydad mwaka Jana. Katika mashindano haya mchezaji wa Simba aliyesifiwa Sana pengine kuliko wote Hadi kuzushiwa kutakiwa na Timu za Ufaransa kabla ya Jana ni Onana. Lakini Jana Onana karudi kwenye kiwango chake cha asili, katukanwa matusi yote Hadi ya Kiyunani.Mpira wa bongo ujuaji kibao nonesense thread
magufuli ni fala sanaKiukweli Kipa Salim Ally anatosha kabisa kuliko kupoteza hela kwa Ayoub, ametuheshimisha sana, amewahi kucheza mechi ngumu na alifanikiwa, alidaka na Wydad mechi zote 2, amewahi kucheza na Yanga na kutupa ubingwa ngao ya hisani na jana usiku akatubeba tena na Singida, nafasi ya Ayoub ni bora tujaze mchezaji mwingine, hata kipa Abel yuko vzr sana, ni lazima tumuamin huyu kijana, alistahili kabisa kwenda Afcon huyu mtoto badala ya Benno Kakolanya.
Kwamba Chalii Megaful kahara?
Ally Salim kachomesha mechi za kutosha na usije shangaa Abel akaja kumpiku pale Simba. Kwanza bado haaminiki kihivyoo, akicheza utagundua beki ya Simba ni nadra sana kumrudishia mipira maana footwork yake inajulikana ni mbovu. Hana kimo kizuri kwa nafasi yake na hachezi mipira ya kona inayoanguka hata ndani ya 6. Huyu atabaki kuwa kipa wa akiba.Kiukweli Kipa Salim Ally anatosha kabisa kuliko kupoteza hela kwa Ayoub, ametuheshimisha sana, amewahi kucheza mechi ngumu na alifanikiwa, alidaka na Wydad mechi zote 2, amewahi kucheza na Yanga na kutupa ubingwa ngao ya hisani na jana usiku akatubeba tena na Singida, nafasi ya Ayoub ni bora tujaze mchezaji mwingine, hata kipa Abel yuko vzr sana, ni lazima tumuamin huyu kijana, alistahili kabisa kwenda Afcon huyu mtoto badala ya Benno Kakolanya.
Ebu niambie wewe utopolo. Analipwa kiasi gani huyo Lakhred? Itasaidia kujuwa kama ni kweli kuwa Simba wanapoteza pesa.Kiukweli Kipa Salim Ally anatosha kabisa kuliko kupoteza hela kwa Ayoub, ametuheshimisha sana, amewahi kucheza mechi ngumu na alifanikiwa, alidaka na Wydad mechi zote 2, amewahi kucheza na Yanga na kutupa ubingwa ngao ya hisani na jana usiku akatubeba tena na Singida, nafasi ya Ayoub ni bora tujaze mchezaji mwingine, hata kipa Abel yuko vzr sana, ni lazima tumuamin huyu kijana, alistahili kabisa kwenda Afcon huyu mtoto badala ya Benno Kakolanya.