Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kiukweli Kipa Salim Ally anatosha kabisa kuliko kupoteza hela kwa Ayoub, ametuheshimisha sana, amewahi kucheza mechi ngumu na alifanikiwa, alidaka na Wydad mechi zote 2, amewahi kucheza na Yanga na kutupa ubingwa ngao ya hisani na jana usiku akatubeba tena na Singida, nafasi ya Ayoub ni bora tujaze mchezaji mwingine, hata kipa Abel yuko vzr sana, ni lazima tumuamin huyu kijana, alistahili kabisa kwenda Afcon huyu mtoto badala ya Benno Kakolanya.