Nawashauri vijana wasiogope kuanzisha hata biashara ndogondogo

Nawashauri vijana wasiogope kuanzisha hata biashara ndogondogo

Joined
Jun 24, 2025
Posts
5
Reaction score
3
Kwa sasa ajira ni Changamoto nawashauri vijana wasiogope kuanzisha hata biashara ndogondogo muhimu uwe na malengo tu

Kwa wale ambao wanatamani kufanya biashara ya mtumba ninatoa ushauri bure kabisa tunapatikana Ipogolo Iringa na Morogoro soko la chief kingalu ukihitaji nicheki inbox au whatsapp. +255 716454646
 
Back
Top Bottom