Kuna jamaa kapigwa swali na mwandishi baada ya mahojiano kama hivi:
Mwandishi;unawashauri nini vijana wanaovuta oksijeni??
Jamaa;aseee nawashauri vijana waache kuvuta oksijeni kwani sio nzuri na ni tabia mbaya sana.nashauri serikali ipige marufuku kabisa vijana wasivute hiyo oksijeni
Daah ebwana ile clip niliiona nadhani ni Clouds jamaa hana ajualo duniani...alidhani oksijeni ni cocaine