Nawashauri vijana wasivute oksijeni!

Nawashauri vijana wasivute oksijeni!

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Kuna jamaa kapigwa swali na mwandishi baada ya mahojiano kama hivi:
Mwandishi;unawashauri nini vijana wanaovuta oksijeni??
Jamaa;aseee nawashauri vijana waache kuvuta oksijeni kwani sio nzuri na ni tabia mbaya sana.nashauri serikali ipige marufuku kabisa vijana wasivute hiyo oksijeni
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. huyu atakuwa amekula yake mapapai ya sh elfu thelathini
 
Daah ebwana ile clip niliiona nadhani ni Clouds jamaa hana ajualo duniani...alidhani oksijeni ni cocaine
 
Asante kwa kuniongezea siku za kuishi mkuu
Ubarikiwe san
 
Back
Top Bottom