Nawashauri wakenya msimchague Raila

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
nawashauri jirani msimchague raila maana moto unawaka huku ,na huko ukiwaka mtakimbilia wapi.
si mnajua ni marafiki?
 
Nchi ya ajabu

Wabunge wa ajabu

Bajeti hiyo hiyo na utasikia waheshimiwa watakavyounga mkono na makofi mengi bajeti ijayo
 
Nakusihi karudi kule kwenye jukwaa lako maarufu la mapenzi,huku hautoeleweka kwa sababu haujui mambo yenye tija kama haya.

😀😀
 
Naona umeleta utoto wako humu, bora kunyamaza kuliko kuongea mambo usiyoyajua. Kama ulivyoshauriwa hapo juu, nenda kacheze kwenye jukwaa la mapenzi. Humu kina kirefu kwako.
 
kweli majirani msichezee shilingi baharini mtajutie
 
I advised them the same.. Ni bora kichaa uliyemzoea kuliko mwendawazimu mpya...
 
Nakusihi karudi kule kwenye jukwaa lako maarufu la mapenzi,huku hautoeleweka kwa sababu haujui mambo yenye tija kama haya.

😀😀
Naona umeleta utoto wako humu, bora kunyamaza kuliko kuongea mambo usiyoyajua. Kama ulivyoshauriwa hapo juu, nenda kacheze kwenye jukwaa la mapenzi. Humu kina kirefu kwako.
nyie watu wa odinga nyie huo ndo ukweli
 
Hivi huwa anagombea yeye kila wakati kama Lipumba na Maalim Seif!!!!!
 
Ni kweli wakenya wasichezee hiyo nafasi!Watakuja kujuta....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…