Nawashauri wakenya msimchague Raila

Nawashauri wakenya msimchague Raila

nawashauri jirani msimchague raila maana moto unawaka huku ,na huko ukiwaka mtakimbilia wapi.
si mnajua ni marafiki?
Moto upi inaowaka huku? Tujulishe. Kama ulizoea kuhongwa sasa hivi hongo hamna nini ndo unasema moto unawaka. Kama unasubiri kuhongwa moto itakuwakia sana na bado
 
Nakusihi karudi kule kwenye jukwaa lako maarufu la mapenzi,huku hautoeleweka kwa sababu haujui mambo yenye tija kama haya.

😀😀

Vipi yakhe, mbona double standard, kuna yule jamaa Juakali1980 ametiririka chuki za kikabila sehemu, tulipothubutu kumshauri ukasema tumwache maana anafurahia 'uhuru' wa kutoa maoni, na kwamba eti unapenda sana maoni mbali mbali yanayokinzana. Sasa huyu hapa Miss Natafuta amefurahia 'uhuru' wake wa maoni, naona unamtolea nje. Hehehe!! Mkuki kwa nguruwe, ila kwa binadamu mchungu, tuache unafiki na kuvumilia watu wafurahie 'uhuru' wa maoni.
 
Mbona mimi nimemwelewa vyema miss natafuta?Anaona mbali kweli!Wote wawili akili zao ni zile zile!Sawasawa sistah ila mimi kumpigia kura raila?Haha!
 
Vipi yakhe, mbona double standard, kuna yule jamaa Juakali1980 ametiririka chuki za kikabila sehemu, tulipothubutu kumshauri ukasema tumwache maana anafurahia 'uhuru' wa kutoa maoni, na kwamba eti unapenda sana maoni mbali mbali yanayokinzana. Sasa huyu hapa Miss Natafuta amefurahia 'uhuru' wake wa maoni, naona unamtolea nje. Hehehe!! Mkuki kwa nguruwe, ila kwa binadamu mchungu, tuache unafiki na kuvumilia watu wafurahie 'uhuru' wa maoni.

Sabalkher mudhir!
Si wajua tena Ukenya na Utaifa ulivyo?....wa ndani tunapigana bakora za matakoni wa nje tunaugana kumtokomeza akhera!..teteteh!
Walakin una pointi!

😀😀😀
 
Back
Top Bottom