Moto upi inaowaka huku? Tujulishe. Kama ulizoea kuhongwa sasa hivi hongo hamna nini ndo unasema moto unawaka. Kama unasubiri kuhongwa moto itakuwakia sana na badonawashauri jirani msimchague raila maana moto unawaka huku ,na huko ukiwaka mtakimbilia wapi.
si mnajua ni marafiki?
Nakusihi karudi kule kwenye jukwaa lako maarufu la mapenzi,huku hautoeleweka kwa sababu haujui mambo yenye tija kama haya.
ππ
Vipi yakhe, mbona double standard, kuna yule jamaa Juakali1980 ametiririka chuki za kikabila sehemu, tulipothubutu kumshauri ukasema tumwache maana anafurahia 'uhuru' wa kutoa maoni, na kwamba eti unapenda sana maoni mbali mbali yanayokinzana. Sasa huyu hapa Miss Natafuta amefurahia 'uhuru' wake wa maoni, naona unamtolea nje. Hehehe!! Mkuki kwa nguruwe, ila kwa binadamu mchungu, tuache unafiki na kuvumilia watu wafurahie 'uhuru' wa maoni.