Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
ICC WAPO KIKAZI KWELI.
Asante Sana Mahakama ya Kimataifa-ICC kwa mwongozo mlionipa baada ya kuwatumia malalamiko yangu juu ya Rais kuvunja KATIBA na Mateso niliyoyapata gerezani. Nafanyia marekebisho nakuwarejeshea Tena.@Don Nalimison.
View attachment 1650762View attachment 1650763
Tatizo uelewa wako upo chini sana, habari hapa ni jinsi ICC walivyo makini kwenye utendaji wao.Don Damilison juzi tu hapa ulitaka kuanzisha maandamano Nchi nzima kupinga Katiba na Rais aliyeapishwa 2020...
Tulieni muende mkatundikwe huko kwa pilatoDeo mateso gani uliyopata huko gereza la kilimo Kitengule wakati wewe ni msukuma uliyekulia kwenye jembe
Au ulilazimishwa kuwa mke wa pili wa nyampara maana mpaka ufike ICC yatakuwa ni mateso makali kwelikweli
Mkuu tatizo la watanzania ni kuwa na maneno mengi ya kizandiki tu,huyu jamaa inabidi kupongezwa hata kwa huo udhubutu tu na kupata bahati ya kujibiwaMwanzo Mzuri Don, aanzia hapo pa crime of aggression. Fuata miongozo yao. watu wanakuita kichaa , siku ukitoboa ndio watakuwa marafiki zako.. ubarikiwe kwa kuongoza njia ingawaje unaitw majina ya kila namna bila kukata tamaa...kudos
Naona somo la uraia limeanza kuwa rafiki kwa watanzaniaHapa utasikia wanaoitwa mabeberu!
Ushauri mzuri sana usiyo wa kinafikiNi hatua nzuri kwamba wamekujibu na kukupa mwongozo. Pata ushauri wa ziada wa wanasheria tofauti kupitia evidence ulizonazo kama zinakidhi vigezo vya ICC ndio uchukue hatua za ziada. Hapa Jukwaani utapewa kila aina ya matusi na kupachikwa kila aina ya majina mabaya, ila usife moyo. Hata Mtikila alipokuwa anafungua zile kesi zake za mgombea binafsi nk alitukanwa sana ila mwisho wake kila mmoja anaujua. Keep moving Don Nalimison
IQ yako ipo ICUKwa kifupi jamaa wamekujibu kwa lugha ya kistaarabu acha kupoteza muda wao; awaangaiki na matatizo ya mtu mmoja mmoja.
Ndugu unapoenda duka la jumla, ukataka kununua bidhaa moja; muuzaji anapokwambia tunauza bidhaa kuanzia dozens, kilos etc.IQ yako ipo ICU
Mkuu,ICC WAPO KIKAZI KWELI.
Asante Sana Mahakama ya Kimataifa-ICC kwa mwongozo mlionipa baada ya kuwatumia malalamiko yangu juu ya Rais kuvunja KATIBA na Mateso niliyoyapata gerezani. Nafanyia marekebisho nakuwarejeshea Tena.@Don Nalimison.
View attachment 1650762View attachment 1650763