Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
IQ yako ipo ICU
yaani kuna wengine mawazo yao kama vile CHADEMA bado ipoTatizo uelewa wako upo chini sana, habari hapa ni jinsi ICC walivyo makini kwenye utendaji wao.
Tayari washatoa muongozo kwa mhusika jinsi ya kufanya ili waweze kutimiza ndoto za mlalamikaji.
huyo jamaa tangu mwanzo alipotangaza maandamano nilijua ni punguani km wanachama wenzake wanaopenda kuendeleza siasa wakati Uchaguzi umeisha
Hivi kweli ICC itaweka mguu hapa Tanzania kwa hayo malalamiko yenu na ya Amsterdam
huy Trump tu keshakaa pembeni kwanini msivumilie MIAKA 5 TENA?