IQ yako ipo ICU
yaani kuna wengine mawazo yao kama vile CHADEMA bado ipoTatizo uelewa wako upo chini sana, habari hapa ni jinsi ICC walivyo makini kwenye utendaji wao.
Tayari washatoa muongozo kwa mhusika jinsi ya kufanya ili waweze kutimiza ndoto za mlalamikaji.
Kama Kisandu pia ,sasa walivyokujibu sijui utashitaki nini.ICC WAPO KIKAZI KWELI.
Asante Sana Mahakama ya Kimataifa-ICC kwa mwongozo mlionipa baada ya kuwatumia malalamiko yangu juu ya Rais kuvunja KATIBA na Mateso niliyoyapata gerezani. Nafanyia marekebisho nakuwarejeshea Tena.@Don Nalimison.
View attachment 1650762View attachment 1650763
Ni upumbavu mtupu na wamekuona huna uelewa wa mambo na wamekujibu kiungwana kwa sababu wanakuona ni mshamba fulani hivi ambaye unaichukulia ICC kama mahakama ya mwanzo ya Tandika kwa Maguruwe.ICC WAPO KIKAZI KWELI.
Asante Sana Mahakama ya Kimataifa-ICC kwa mwongozo mlionipa baada ya kuwatumia malalamiko yangu juu ya Rais kuvunja KATIBA na Mateso niliyoyapata gerezani. Nafanyia marekebisho nakuwarejeshea Tena.@Don Nalimison.
View attachment 1650762View attachment 1650763
Mkuu,ICC WAPO KIKAZI KWELI.
Asante Sana Mahakama ya Kimataifa-ICC kwa mwongozo mlionipa baada ya kuwatumia malalamiko yangu juu ya Rais kuvunja KATIBA na Mateso niliyoyapata gerezani. Nafanyia marekebisho nakuwarejeshea Tena.@Don Nalimison.
View attachment 1650762View attachment 1650763
Sasa kiswahili hakiruhusiwi huyo muhusika ataongea lugha gani?ICC WAPO KIKAZI KWELI.
Asante Sana Mahakama ya Kimataifa-ICC kwa mwongozo mlionipa baada ya kuwatumia malalamiko yangu juu ya Rais kuvunja KATIBA na Mateso niliyoyapata gerezani. Nafanyia marekebisho nakuwarejeshea Tena.@Don Nalimison.
View attachment 1650762View attachment 1650763
Wewe siyo Deo Kisandu kweli? but hongera sn mkuuICC WAPO KIKAZI KWELI.
Asante Sana Mahakama ya Kimataifa-ICC kwa mwongozo mlionipa baada ya kuwatumia malalamiko yangu juu ya Rais kuvunja KATIBA na Mateso niliyoyapata gerezani. Nafanyia marekebisho nakuwarejeshea Tena.@Don Nalimison.
View attachment 1650762View attachment 1650763
Huyu siyo mtemi Deo kweli?Mkuu Don Masqo nimeingia huku kukujulia hali tu.
Nilikukumbuka leo katika mbanga zangu za hapa na pale, nikajiuliza huyu alwatan yupo kweli?