Nawashukuru sana wana jf kwa........

Nawashukuru sana wana jf kwa........

Habari wana JF wote,
Naomba nitoe shukurani nyingi sana kwa wanajf wote walionipa ushauri kuhusiana na thread yangu niliyoanzisha hapa kuomba ushauri wa nn cha kufanya baada ya kupata dv 4 ya point 18(form 6). Nilikata tamaa sana, nilivunjika moyo kwa kiasi kikubwa sana, lakin NAWASHUKURU SANA KWA USHAURI WENU MLIONIPA,ULINIINUA,ULINAPA MWANGA MPANA SANA, NILIUFANYIA KAZI (baadhi...lol siyo ushauri wote). Sept naanza chuo rasmi kusomea diploma.
Kila jambo jema liwe sehemu ya pumzi yenu, MUNGU AZIDI KUWABARIKI ,AWAZIDISHIE UPENDO,HEKIMA NA BUSARA ZAIDI. NAWAPENDA ZAIDI, ASANTENI SANA.

Shukrani zako zimebeba uzito mkubwa, si wote wanaokumbuka kushukuru. Hata hivyo muombe Mungu huku ili ufanikiwe diploma yako, japo hujasema diploma ipi.

swadaktaaaaaaaaaaa we ndo miongoni mwa binadamu wachache tunaowatafuta, uliomba ukapewa ukashukuru

Shukrani zako zimebeba uzito mkubwa, si wote wanaokumbuka kushukuru. Hata hivyo muombe Mungu huku ili ufanikiwe diploma yako, japo hujasema diploma ipi.

ASANTE MESTOD KWA KUITAMBUA SHUKURANI YANGU. SAMAHANI KWA KUTOKUANDIKA DIPLOMA IPI, NI DIPLOMA YA PROCUREMENT AND LOGSTIC MANAGEMENT.

swadaktaaaaaaaaaaa we ndo miongoni mwa binadamu wachache tunaowatafuta, uliomba ukapewa ukashukuru

ASANTE SANA FIRSTBORN, KWA KUITAMBUA NA KUITHAMINI SHUKURANI YANGU. SHUKURANI YANGU INATOKANA NA UTU,UPENDO,HEKIMA,BUSARA MLIYONIPATIA WANA JF. HAMKUNICHEKA,HAMKUNIVUNJA MOYO BALI MLINIPA USHAURI WA KUNIINUA,KUNIPA MWANGA ZAIDI, KUNIPANUA ZAIDI KIMAWAZO NA HAYO NDIYO YALIYONIFIKISHA LEO HAPA NILIPO NA NITAKAPOKUWA KESHO.

Duh mkuu nakuombea sana na utafanikiwa katika safari yako ya maisha

ASANTE SANA MR ROCKY, LA MUHIMU TUZIDI KUOMBEANA UZIMA WA AFYA NJEMA.

Mungu ana kusudi kwa kila kiumbe chake na kama viumbe ambao tunamtegemea Mungu haturuhusiwi kukata tamaa au kukosa matumaini
jipe moyo maana mwanzo wa mapambano huo na safari bado ni ndefu

swadaktaaaaaaaaaaa we ndo miongoni mwa binadamu wachache tunaowatafuta, uliomba ukapewa ukashukuru

NAUHESHIMU NA NAUTHAMINI MSAADA WA KILA MTU, ILA MSAADA NINAOPEWA NA MTU ASIYENIFAHAMU KABISA, HATUJAONANA, HATA HAJUI NAONEKANAJE,NI NANI,NATOKA WAPI bali ANACHOANGALIA NI KUTIMIZA WAJIBU WAKE, SO SIRI MSAADA WA AINA HII UWA NAUTHAMINI ZAIDI YA 100%, KSB MTU WA AINA HII ANATOA MSAADA KWA MOYO WAKE WOTE PASIPO 7BABU WALA HATEGEMEI THAWABU TOKA KWA BINADAMU,BALI ANATEGEMEA KUPOKEA THAWABU TOKA KWA MUNGU. MSAADA WA AINA HII NDIYO NILIYOUPATA HAPA JF KWA WATU TUSIOFAHAMIANA KABISA, LAKIN HIYO HAIKUWAZUIA WAO KUTONISHAURI NINI CHA KUFANYA. SINA NENO ZURI NA ZITO ZAID YA HILI NENO SHUKURANI NYINGI KWENU WANAJF. NAOMBA NIISHIE hapa TUTAENDELEA KUWASILIANA KILA TUPATAPO NAFASI. NAWAPENDA WOTE. Bye.

Hongera sana mkuu, Jf is and will be the greatest, majamvi mengine utapata vitu nusu-nusu, lakini jf kilakitu kipo hapa I LOVE IT

Duh! hongera sana mkuu na nafikiri utakua mfano kwa wengine baada ya kupata ushauri warudi kuja kushukuru,kila la kheri mkuu kwenye kusoma Diploma yako.

ASANTE SANA Kapipi, ntahakikisha siwi mzembe ili nitekeleze kile kilichonipeleka huko. Nashukuru kwa kunipa moyo zaidi.
hongera sana, soma sana uwe kama malaria sugu

Back
Top Bottom