Nawashukuru Watanzania-Waasia hawa; historia itawakumbuka

Nawashukuru Watanzania-Waasia hawa; historia itawakumbuka

Lady Dai namaanisha kwa nini tunaanza kuweka rangi na mbari kwenye haya mapambano - kwani tuna uhakika gani kuwa hawa walipuaji wa mafisadi ni Watanzania wenye asili ya wapi? Ufisadi hauna rangi wala kabila. Vivyo hivyo, mapambano dhidi ya ufisadi hayana rangi wala kabila!

Mwanakijiji tafadhali badili bandiko lisomeke hivi: Nawashukuru Watanzania Wazalendo hawa; historia itawakumbuka.

Nimetumia hilo kuweka msisitizo nilioukusudia. Sijaona bado sababu ya kuibadilisha.
 
Uzushi mtupu, gari moshi lilianzia stesheni namba moja, chanzo cha matatizo yote ya Tanzania ya leo ni Nyerere, Ujamaa ulikuwa ni chanzo cha matatizo na hilo halipingiki.

"[FONT=Verdana,Arial,Helvetica]But the Tanzanian experiment offers good evidence that saints do not really make very good presidents"[/FONT]

Dar Es Salaam,

Hivi bila kumtaja JKN katika kila kitu huwezi kuishi? Maada inazungumzia kilichotokea hivi karibuni, wewe unadai ni uzushi, je ni kipi ambacho ni uzushi kuhusiana na Shukrani za Mwanakijiji kuhusian n mambo tuliyonayo nyakat hizi?
 
Kishoka, huna sababu ya kupoteza muda kwa watu wenye malengo ya kupotosha mada.
 
Back
Top Bottom