Nawashwa na dawa jamani, nini tatizo?

ndugu yako

Senior Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
193
Reaction score
96
Habari wanajf?!

Nakumbuka nikiwa mdogo nilipokuwa nikiugua, nikimeza dawa za anti biotic nikikaribia kupona basi nilikuwa nawashwa sana karibia mwili mzma hali hii ilikuwa ikinitesa sana kwa sababu nilikuwa nakosa hadi usingizi! ila gafla tu hii hali ilipotea zaidi ya miaka 15!! Sasa tokea juzi imerudi tena sema sasa hivi nawashwa sana mikononi!

Je hii hali inatokana na nini na nifanye nini ili niitibu kabisaaa?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…