Habari JF Doctor,naomba unipe ushauri juu ya hili tatizo langu,nimekuwa nikipata vargina discharges pamoja na kuwashwa sana sehemu hizo kwa siku tano sasa,je ninaweza kuwa na fungus?pia nikiskia haja ndogo nisipowahi toilet inatoka tatizo ni nini?please tell me what to do coz nilienda duka la dawa wakanipa dawa ila tatizo limepungua ila haliishi