Nawashwa sana mida ya usiku

Nawashwa sana mida ya usiku

EagerBee

Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
34
Reaction score
0
Habari JF Doctor,naomba unipe ushauri juu ya hili tatizo langu,nimekuwa nikipata vargina discharges pamoja na kuwashwa sana sehemu hizo kwa siku tano sasa,je ninaweza kuwa na fungus?pia nikiskia haja ndogo nisipowahi toilet inatoka tatizo ni nini?please tell me what to do coz nilienda duka la dawa wakanipa dawa ila tatizo limepungua ila haliishi
 
Nenda hospital haraka, kama vipi mshirikishe mama, atakuelekeza vizuri tu.
 
vaginal discharge is perfectly normal
but when accompained by itching ni dalili ya infection
je discharge ina harufu??
Je ina appearance gani kwa macho ??
 
Hilo ndio kosa ulilolifanya kwenda duka la dawa na kununua dawa tu,utajitibu vipi mwenyewe?unajua unaumwa na nini mpaka unajitibu?!Unatakiwa uende hospitali upewe tiba sahihi kutokana na ugonjwa wako!Umetumia dawa gani so far nijuze!!
:focus:Unamaanisha huwezi kuucontrol mkojo?unapata leakage?Je unapatwa na maumivu ukikojoa kuhisi kama kunachoma au kuungua kwenye njia ya mkojo?
 
hawa ndio wana sababisha kila kukicha anti biotic mpya zinatengenezwa sabab ya resistance
 
Back
Top Bottom