haina harufu na ni nyeupe
Hilo ndio kosa ulilolifanya kwenda duka la dawa na kununua dawa tu,utajitibu vipi mwenyewe?unajua unaumwa na nini mpaka unajitibu?!Unatakiwa uende hospitali upewe tiba sahihi kutokana na ugonjwa wako!Umetumia dawa gani so far nijuze!!
:focus:Unamaanisha huwezi kuucontrol mkojo?unapata leakage?Je unapatwa na maumivu ukikojoa kuhisi kama kunachoma au kuungua kwenye njia ya mkojo?