Mzee wa kurekebisha
Senior Member
- Sep 29, 2012
- 178
- 169
Jamani ninawashwa sehemu ya haja kubwa, hasa kila nikitoka kujisaidia
Tumbo nalo linanhuruma usiku kucha yaani ni wiki ya pili sasa, choo nacho
ni shida naweza kukaa pale kwenye Tundu nikaishia kutoa upepo tu,
Nimejaribu sana Magnesium, Albendazo na Mabendazo lakini hakuna
Mafanikio.
Naomba msaada wenu wakuu.