Nawashwa sehemu ya haja kubwa

Nawashwa sehemu ya haja kubwa

Mzee wa kurekebisha

Senior Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
178
Reaction score
169
Jamani ninawashwa sehemu ya haja kubwa, hasa kila nikitoka kujisaidia
Tumbo nalo linanhuruma usiku kucha yaani ni wiki ya pili sasa, choo nacho
ni shida naweza kukaa pale kwenye Tundu nikaishia kutoa upepo tu,
Nimejaribu sana Magnesium, Albendazo na Mabendazo lakini hakuna
Mafanikio.

Naomba msaada wenu wakuu.
 
Nafikiri umekusudi LINANGURUMA.
 
hahaaaaa..nyie hamjamuelewa huyu..Njoo coco beach huku kwenye miti tukupe dawa mujarabu
 
Jamani ninawashwa sehemu ya haja kubwa, hasa kila nikitoka kujisaidia
Tumbo nalo linanhuruma usiku kucha yaani ni wiki ya pili sasa, choo nacho
ni shida naweza kukaa pale kwenye Tundu nikaishia kutoa upepo tu,
Nimejaribu sana Magnesium, Albendazo na Mabendazo lakini hakuna
Mafanikio.

Naomba msaada wenu wakuu.

Your tigo's alright!
 
Tigo yako ilishawahi kutumika siku zilizopita? endapo hapana itakuwa minyooo inatafuta mahali pa kupumulia
 
Jamani ninawashwa sehemu ya haja kubwa, hasa kila nikitoka kujisaidia
Tumbo nalo linanhuruma usiku kucha yaani ni wiki ya pili sasa, choo nacho
ni shida naweza kukaa pale kwenye Tundu nikaishia kutoa upepo tu,
Nimejaribu sana Magnesium, Albendazo na Mabendazo lakini hakuna
Mafanikio.

Naomba msaada wenu wakuu.

Umewahi kupumuliwa?
 
MAMBO YA KUWASHWA TIGO HAYO!!!!!umezoea kuharibu wewe c muharibifu sasa ukataka kuonja unaowaharibu wanapata raha gani?ndio huo muwasho sasa unawafanyaga wasiache kutaka kukunwa kuna jamaa yupo hapa coco upande wa mihogo kwenye miti anakuita akupe dawa mujarabu then network itarudi sasa hivi na tigo yako itakuwa salama.....TIGO IMEKATA NETWORK NENDA KICHAKANI BASI UNAITWA:A S-key:
 
Yatakuwa mafangasi hayo kimbia fasta Hosptalini, usiogope daktari akiwa anapeleka mkono ili akucheki
 
Back
Top Bottom