Nawashwa sehemu ya haja kubwa

Nawashwa sehemu ya haja kubwa

Duh watu wanatisha kujipachika vidole ndo dawa we ni nouma
 
Jitahid kula mboga za majan kwa wingi na ugal wa dona then matunda lazima utaenda choo tu tena bila matatizo yoyote........ila utakua na minyoooo wewe...
 
Huyu ndugu ni zaidi ya sie tunavyofikiria;
........ no comments.............
 
mkuu jaribu dawa ya ngiri pia.ngiri inawasumbua wanaume wengi na ina dalili kama hizo...
 
Back
Top Bottom