Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

Ni kweli sipotezi hela na toa ml 1 tu kwa ada ya mwaka kwa watoto sitaki apelekwe na basi ajue atarudije au kitamwambia mtu akamchukue au aingie dalala kuna njia ambayo nitamtafutia arudi home ila 2. 5 to 20 ml huo ni ukichaa na biashara za kufanya
Umeanza kujitambua.

Baadae utakuja kuona hata kulipa hiyo milioni ni utoto tu.
 
Mkuu, You are the true son of your father
 
Wako watu wanaishi uswahilini tunawajua wanasomesha watoto wao kwenye hizo shule kama uamini nenda kwenye hizo shule utakuta tatizo la ulipaji ada kwa baadhi ya wanafunzi ..wazazi wao wanaungaunga kulipa
Nakazia
 
T

Tumia akili wewe fala mleta uzi amesema wazi kuwa familia za uwezo wa chini ndiyo ziwe makini kusomesha watoto kwenye shule za gharama kubwa ...foolish
Asante kwa kunisaidia kumuelewesha huyo mtu mkuu
 
Hata Mimi imenishangaza mkuu. Kwamba sajenti Chotta hapo juu anaidiss Quality ya elimu yà Gen Z?! Ataifananisha na hii yetu ya mlala hoi mwanafunzi yupo form 4 lakini lugha ya kaburu bado inampa tabu Elimu ni Globalization
 
Anahamia vipi shule ya kata akiwa form 2 ? Unawezaje kuhamia shule ya serikali kutoka shule ya private ?
 
Inabidi mwananchi waipe hii bandiko front page
 
Ahahahahh 🤣 🤣 🤣 🤣
Huu Uzi ukiusoma utaishia hapo jamaa anaposema mashine ya jamaa aliyomtumia binti yake Whatsapp ni kubwa ukilinganisha na yake lakini binti kwakuwa kazoea mikunyenye anaiona cha mtoto
Watu wanacheka humu ila jamaa katupasulia ukweli wote usoni kabisa ambaye hatataka kusikia itakuja kula kwake
 
Kila mwenye smart phone anakuwaga na password?

Mtoto wa miaka 14 anaweza kuweka password kwenye simu yake?

Unaishi kwa kukariri eeh? Unauliza kwa nini sijavaa mkanda wakati suruali hainibani.
Mkuu wewe ni muongo sana huyo mtoto awezi kuwa mjanja wa kuchanganya Wanaume afu ashindwe kuweka password.
 
Watu wanacheka humu ila jamaa katupasulia ukweli wote usoni kabisa ambaye hatataka kusikia itakuja kula kwake
Shule za bure (gharama nafuu) zipo ila watu kwa kukosa ufahamu wanajinyima ili wasomeshe watoto English medium.
Jirani yangu ana hali ngumu kuliko Mimi , hatulii kusaka pesa watoto wawili wote wako private school primary. Kula kwa shida , kuvaa kwa shida
Daaahh
 
Mkuu wewe ni muongo sana huyo mtoto awezi kuwa mjanja wa kuchanganya Wanaume afu ashindwe kuweka password.
Mtoto ni mtoto tu. Kuna vitu hawezi kuvimudu kwa umri wake.

Mzazi kama upo makini utajua mapema ila kama mzazi na wewe akili umeshikia huwezi mgundua hata akiwa na mimba au akitoa mimba, atakuficha na hutajua.
 
Naunga mkono hoja yako.kuna mzee mmoja mtaan kwetu kipindi tupo wadogo mwanae alimsomesha kwenye hizo shule lakini mwisho wa siku akachukua mkopo wa benki kwa sababu ya mapenzi sasa mzee wa watu amepooza mwili wote
 
Ndio maana watoto wengine WA maskini huacha shule

Kielimu mtoto anatakiwa atafuniwe vingi kielimu

Ni hadi afike chuo kikuu ndipo huruhusiwa kuanza kujitafutia mwenyewe kwenye research paper akisona digrii

Kitoto kinasoma kayumba unakuta kinahangaika kutafuta material huku.na kule huku kiki.koswa koswa kugongwa na bajaj ma bodaboda anafika huko mbele mtoto kachoka hatari kichwa .

Mwenzie WA private school bus yambeba .Hahangaiki kutafuta material na tuition haendi walimu wake wanamwambia tulia tulichokufunza kinatosha .Relax

Shule private hujua Hilo kuwa Kwa umri wa watoto mwalimu ndie mwenye KAZI kubwa sio kususukumia mtoto

Hizo kayumba mtoto anaachiwa ajitafutie mwalimu hata hajali
 
Mtoto ni mtoto tu. Kuna vitu hawezi kuvimudu kwa umri wake.

Mzazi kama upo makini utajua mapema ila kama mzazi na wewe akili umeshikia huwezi mgundua hata akiwa na mimba au akitoa mimba, atakuficha na hutajua.
Hivi nyie watoto mna waunderrate Wana uwezo wa kufanya makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…