Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

Sasa hivi hata akiniambia " baba nataka kwenda Kariakoo kununua urembo" Namwambia nenda lakini uwe umerudi kabla ya saa moja usiku. Na hapo ni saa 2 asubuhi. Najua haendi Kariakoo wala nini. Anaenda kupelekewa moto. Akirudi atafanya kazi za nyumbani siku hiyo kama House girl vile.. Huu ni uhalisia ambao hatuwezi kuukwepa.
 
Mzee kwan mtaala wa elimu umebadilika kias hicho? 90% ya ulioyasoma na ndio hayo wanasoma tena wao yamepungua viwango. Mtihani wa mathematics wa form 2 leo hii sis ndio zilikua test za form 1.
Sio kweli mkuu,sisi tulikuwa tuna cremimu mavitu hayapo tena duniani.Mimi nilitumia Abott kwenye physics which most of the science narrative has changed.Tulikuwa na somo linaitwa siasa tunafundishwa nani raisi wa nchi,baraza la mawaziri,wakuu wa mikoa majina yao tuyataje huu ni mfano tu .Ebu mwulize leo mwanafunzi kuhusu wakuu wa mikoa after 2 hrs wamebadilishwa
 
Sio kweli mkuu,sisi tulikuwa tuna cremimu mavitu hayapo tena duniani.Mimi nilitumia Abott kwenye physics which most of the science narrative has changed.
no problem for narratives to change cz the principles remains the same , the formulars are the same same
Tulikuwa na somo linaitwa siasa tunafundishwa nani raisi wa nchi,baraza la mawaziri,wakuu wa mikoa majina yao tuyataje huu ni mfano tu .Ebu mwulize leo mwanafunzi kuhusu wakuu wa mikoa after 2 hrs wamebadilishwa
Hapa sawa, kwa siasa zetu za kijinga jinga wala hujakosea lakin the global politics in your young age are the same til now, the only thing different are the current issues
 
Sio kweli mkuu,sisi tulikuwa tuna cremimu mavitu hayapo tena duniani.Mimi nilitumia Abott kwenye physics which most of the science narrative has changed.Tulikuwa na somo linaitwa siasa tunafundishwa nani raisi wa nchi,baraza la mawaziri,wakuu wa mikoa majina yao tuyataje huu ni mfano tu .Ebu mwulize leo mwanafunzi kuhusu wakuu wa mikoa after 2 hrs wamebadilishwa
Science haijawahi badilika ila kuna muundelezo labda ungesema ni vipi hivyo
 
Wewe hujaachaga tu uongo wako?hakuna mzazi anaweza kukusimulia wewe mambo mazito yanayomuhusu mtoto wake kama hivo...hii ni chai
 
Back
Top Bottom