Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

Hivi hizi shule zilikufanya nini?

Ulisoma huko ukafail au ulisomesha ukachapiwa?
 
100% correct
 
Sawa tajiri
 
Nakuona wewe mwenye pesa unajibizana na kina Dewji hapa kwenye huu mjadala. Kumbe siku hizi vichaa wenye machicha kichwani kama wewe badala ya ubongo wanaweza kuandika. Hongera kwa kufuga pipa lililojaa machicha badala ya kichwa
🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣
 
Duh kumbe we unawaza kuajiriwa? Yani una lipa mamilioni shule ili mtoto wako aje aanze kutembea na bahasha?
Very interesting kwakweli
 
This is what I am talking about.
 
Kama ishu ni kifaransa kwanini wasimuajiri mfaransa kabisa ambae kifaransa ndo lugha yake?

Mbona unapenda kujistress hivyo we jamaa.

What's Up?
 
We jamaa unawaza kuajiriwa tu.
 
100% correct
 
100% correct
 
Naunga mkono hoja yako.kuna mzee mmoja mtaan kwetu kipindi tupo wadogo mwanae alimsomesha kwenye hizo shule lakini mwisho wa siku akachukua mkopo wa benki kwa sababu ya mapenzi sasa mzee wa watu amepooza mwili wote
Duh inasikitisha sana mkuu.
 
Umenikumbusha mwaka 2007 wakati mtoto wangu wa kike anazaliwa kuna mzee mmoja alipata mtoto wa kike wa kwanza ila wa tano na mwisho kwa watoto. Alimuita mtoto wake " Holy Magreth"


Holy??!!!


Sasa hivi demu ana miaka 17 tu lakini kawa " Ho Magreth " na sio " Holy Magreth" tena.

Kasomeshwa shule za mamilioni primary. Watu wameanza Kula yupo form one ( probably chini ya hapo)


Kamaliza form mwaka jana kapata 4 yake nzuri now ana mimba yake nzuri kubwa tu baba hajulikani..
 
Shule ipi ya Sekondari siku hizi Kuna walimu 2?
 
Haya ni matunda ya ccm kuchezea elimu, miaka ya nyuma watoto wa mawaziri tulisoma nao wote shule za umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…