Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

Mleta mada hazungumzii kuhusu mwanae bali mtoto wa brother mmoja aishiye mtaani kwake. Wa kumsaidia si mleta mada bali huyo brother.
 
Msiwape watoto simu, mnawapa urahisi wa kufanyiwa hayo yote.

Hiki kizazi cha 2010's ni hatari sana hasa wasichana. Juzi kati nimekutana na katoto kapo darasa la 7, anazaliwa namuona, sasa hivi kananiambia mambo na kunichekea chekea na wahuni naskia wanapita nacho sana.
Wazazi na walezi kuweni makini sana.
 
Hakuna kitu kama hicho uyo ni mtoto wake sema hapa JF kila mleta mada eti ua ameombwa ushauri au ameona mtaani kwake au kasikia kwa mtu 🤣🤣🤣 kwaio JF ni ya watu ambao wao ua hawana matatizo wote wameambiwa
Mleta mada hazungumzii kuhusu mwanae bali mtoto wa brother mmoja aishiye mtaani kwake. Wa kumsaidia si mleta mada bali huyo brother.
 
Imeandikwa kwa uelewa wa chini Sana. Tukiwa kayumba enzihizo mwalimu wa madhe alikuwa anakula karibu wadada wazuri wote darasani. Watatu walimaliza na mimba za kisiri Siri.

Mtoto maadili hajifunzi kayumba au green green. Anafundishwa nyumbani.

Mtoto apelekwe atakapopata elimu bora afunguke mapema kiuelewa. Sio Ile shule jirani yangu hapa. Darasani watoto 200 mwalimu wawili hadi uti wa mgongo wa ticha unacrack
 
Kazi kweli kweli
 
umaskini ukitanda sehemu kila kitu kinakua kibaya.... ukishindwa kumlea hata huko kayumba atapigwa mti vizuri tu..... watoto wanazaa wapo darasa la saba mgungani pr school malezi ndio jambo la kwanza.... unampa simu alafu humpi miongozo bora lazima afanye ujinga
 
Shida hapo sio aina gani ya shule mtoto anasoma, mi hapo naona shida ni malezi tu kwasababu sisi wazazi huwa tunawaacha walimu peke yao kwwnye suala la malezi ya mtoto
Ni kweli unachosema, wazazi tuna mchango mkubwa wa kulea nakuwaongoza watoto wetu.na sio walimu.
Shida inakuja aina ya kazi tunazofanya wazazi ilii tuweze kulea na kusomesha watoto zinaweza ku dictate kuwa mbali na watoto.. Ukishakuwa mzazi wa kuamka alfajiri na kurudi usiku, tayari unacheza kamari na mustakabali wa mwanao
 
pumba tupu
 
Elimu nzuri ni nini?

Tuanzie hapo mkuu
 
in short kaandika pumba tupu na safi sana kwa kumpa vipande vyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…