Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

Kwa shule ya msingi acha tu aende private sekondari hata ya kawaida ila isiwe ya kata tu....
 
Unaumia kwa mtu kutumia ela yake hizo ni dalili za uchawi
 
We jamaa ni bingwa wa kutunga stori ili usambaze agenda zako...tushakusoma
 
Peleka boarding. Huko waalimu watasaidia kuchunga watoto.
Huku ndio wanaolewa kabisaaa MTOTO unampeleka kusoma SONGEA mzazi unaishi Dodoma huyu mtoto shule anaenda mwnyewe likizo na kurudi likizo na boarding school Kuna someday za off hivo Watoto huruhusiwa kwenda kufata mahitaji yao plus walimu wa kizazi hiki nao fisi tu ndio wanaongoza kuwala Watoto hasa wa boarding na ni rahisi mwanao kama wakike kuangukia kwenye usagaji au ukahaba mapema


Suluhisho ni Moja tusiwafiche Watoto tuwaeleze baya na zuri na matokeo yake ya baya na zuri akishakuwa na AWARENESS hatokusumbua Sanaa kila kitu atafanya Kwa akili au kiasi
 
Hakuna kitu kinaniudhi kama mzazi unakuta anampiga mtoto hajui labda kusoma au kafeli mitihani...
" mimi nakusomesha kwa shida unajua ada naitoa wapi napambana jamani " na maneno mengine kama hayo!!!

Sasa kama unaona hayo mambo sio uwezo wako si unaacha kwanini makasiriko yako unammalizia mtoto ??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…