Nawasikitikia sana wazazi wenye vipato vya kati mnaojitesa kuwasomesha watoto wenu (Gen Z) kwenye shule za mamilioni

Dah nimecheka sana
 
πŸ”¨ πŸ”¨
 
Kuna mmama apa jirani yetu yy alikuwa anasomesha Watot shule za binafs mara paap matokeo ya 4m4 toto la kike limepata division 4 dadekiiii asa apo ni kupoteza hela tu wakuuu
 
Je tabia zako wewe zilikuwaje ulipokuwa kijana kwamaana tabia za watoto zinakuwa Sawa na za wazazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…