Ungemnukuu yeye badala yangu ingawa ulivyoandika tu unaonesha ki-unusu kasorobo.Mleta mada tafuta pesa
Mtoto anastahili kupata kila kitu kizuri na classic kuanzia elimu Bora ya hadhi ya juu akisona na watoto WA hadhi ya juu awaze mawazo ya juu na kukataa umaskini mawazo ya chini na maisha ya chini hata akitaka kuoa au kuolewa anawinda WA juu Tu sio malofa
Pili usimpangie Mzazi mwingine matumizi ya pesa zake hangaika na zako za mwingine mwachie mwenyewe hayakuhusu lofa mkubwa wewe pambana na ulofa wako
Tatu kila Mzazi ahangaike na mwanawe wacha kuhangaika na watoto WA watu wengine bwege wewe
Una pepo la umaskini wewe mleta mada nenda Kwa Mwamposya akalitoe
Ulivyoabdika NI wazi kichwa chako kuna mambo yanakuchabganya umepigika kimaisha .Wahi Mirembe hospital ya vocha .Una dalili zote za kurukwa akili.Mtu akikusoma between the lines anajua wazi huko salama kichwani
Uko sahihi chief. Na hii ndio sababu ilionifanya baada tu ya kuoa na kuanzisha familia, nikaamua kuhama mjini, nilikua nakaa Temeke.Ila kama unalea mtoto uswahilini jua chuchu zikichomoza tu lazma wakulu wapige hata akiwa la 6.
Baadhi ya hawa watoto wa siku hizi wamekata tamaa kabisa,wanawaza ngono tuuHata huko kayumba Tena ni Hatari watoto wa kiume wanavyofukuana mitaro....
Kikubwa wazazi tuwe macho haijalishi mtoto anasoma wapi...
Vidole havilingani chief, acha dhihaka. Mtu ambaye anamuhamisha mwanae kutoka private kwenda kayumba ni maamuzi yake wala haihusiani na kipato.Maskini mnavyofarijiana na umaskini wenu ohhh mtoto Bora kudomesha kayumba .Poleni
Ndio maana matajiri hukaa vikao vyao wenyewe Tu hawataki maskini awepo kwenye kikao na wao matajiri hawataki kushiriki kikao cha watu maskini
Wewe na mleta mada NI maskini
Maskini ndie hupoteza pesa .Tajiri hapotezi pesa anazo za kutosha na ziada juu .Tajiri matumizi sio issue Kwa maskini kama mleta mada na wewe ni issue sababu vipato vyenu dunia kiasi mnaona kutoa milioni kudomesha NI kama kujiua
Sema baadhi ongezea neno baadhi sio woteHawa watoto wa.siju hizi wamekata tamaa kabisa,wanawaza ngono tuu
Mtihani Sana..Hawa watoto wa.siju hizi wamekata tamaa kabisa,wanawaza ngono tuu
Kusomesha mtoto sio Bora liende .Kusomesha NI mmojawapo ya investment au uwekezaji kama ulivyo uwekezaji mwingineHali si nzuri kote kote. Hali ni mbaya
Mkuu naona umetumia zaid hisia kuliko uhalisia. Mleta mada amejaribu sana ku balance agenda yake kwa kuweka case study yake na za jiran zake.
Haimaanishi hii ni kwa kila mtu ila atleast amejaribu kuwatazamisha watu ukwel na kuwapa tahadhari.
Ni kwel kila mzazi atumie pesa zake avile anavyojisikia, well and good, ila yeye msisitizo wake ni kwa wale wazaz ambao wanajibana kisa kusomesha, hii ndio point. Kusomesha haipaswi kuwa suala la kujibana na kubangaiza, no way, somesha mtoto kwa uwezo wako,
Anazungumza na wazaz ambak unakuta mpaka anaingia mikopo kisa tu kusomesha.
Mzaz biashara zimekuyumbia ila ku maintain status unaingia lundo la mikopo kisa tu prestige. Hii sio sawa..
Mwisho wa siku, katika akil ya kawaida kabisa, kuna jambo huwa linatia mawazo, imagine mimi nimetumia millions of money kusomesha mtoto, na mwingine kasomesha shule za bure, na end of time wote mnakutana UDSM au Muhimbili, hii trial balance haijakaa sawa hata kidog. Tena wote wanakutana wakiwa na division 1.
Ndio maana mwisho wa siku ni muhimu kumjua mwanao kwanza kabla ya kuchoma gharama nyiing.
Kama mtoto ana uwezo, anaweza soma popote tu..
NB.
Probably huu ujumbe haukuhusu wewe, na aikupangii matunizi ya pesa zako
Yah.nimekuelewa, na ni mtazami mzuri huu pia.Kusomesha mtoto sio Bora liende .Kusomesha NI mmojawapo ya investment au uwekezaji kama ulivyo uwekezaji mwingine
Kusomesha NI kuwekeza kwenye kichwa cha mtoto ambacho ndicho injini ya maisha
Hivyo kama mtu anavyojibana kuwekeza kwenye biashara NI vizuri pia kujibana kuwekeza kwenye elimu nzuri ya mtoto
Sasa Hivi mitaani Akina mama Ntilie wanajibana kusomesha watoto chekechea nzuri mtoto unakuta anaongea lugha tatu Kwa ufasaha kiarabu,kingereza na kifaransa.Mama mwenyewe NI uswahilini anaishi chumba hakina hata umeme wala maji
Kuna maeneo hayataki mzaa Kwa mtoto la Kwanza NI elimu
Heri kuishi nyumba ya kupanga ya bei ndogo uswahilini kujibana lakini watoto wapate elimu nzuri Sana
Sasa Hivi Mzazi yeyote aulize mtoto yeyote anayesoma kayumba kuwa Kati ya shule ya kayumba na Hizo za pesa nyingi ipi angependa kusoma? Atakwambia hataki kayumba hata kama anashika nafasi ya Kwanza darasani shule ya kayumba.Watoto wanajua quality za elimu wanajua tofauti ya shule ya kayumba na Hizo zingine za private
Kutendea Haki mtoto Mzazi ajibane Tu ampeleke shule nzuri Kwa kweli
Nawapa hongera wanaojibana kuhakikisha watoto wanasoma shule nzuri hata wasipokula vizuri au kuishi pazuri Sana nyumbani Mzazi akiwaambia najibana msome shule nzuri watamwelewa sana
Mtoto anatakiwa akitoka shule awe na shukrani na Mzazi kuwa kanipeleka shule nzuri Si anarudi toka asubuhi hawajasoma walimu hawajaingia darasani na hakuna WA kuwadhibiti anarudi na hasira Kwa Mzazi na hawi na chochote cha shukrani Kwa Mzazi
Kujibana muhimu watoto wasome vizuri
Ndio maana tunawalipaUnazaa kulea alee mwalimu?!!!
Mzee kwan mtaala wa elimu umebadilika kias hicho? 90% ya ulioyasoma na ndio hayo wanasoma tena wao yamepungua viwango. Mtihani wa mathematics wa form 2 leo hii sis ndio zilikua test za form 1.Wanaume wameanza kutafuta sababu za kutokulipa school fees. Mimi haohao GenZ kisa sisi wazazi wa generation ya yetu tulikosa mwelekea na tuka relax hatukwenda na kasi ya kwao tukajikita no direction no plan nothing. Wao sasa wako ahead of us.Sijajuta kuwapeleka shule za gharama kwani haonwa shule za gharama ndio wako composed, exposed na watatuchemsha tu .Hivyo sio wazazi ,sio serikali waliona hili linakuja ndio maana tunawashangaa Gen Z .Tuje na solution,wanachokiona mitandaoni kwa kasi hiyo hiyo tuende nao.Wewe ulikaririshwa mito,Marais,wakuu wa mikoa ,wilaya,sijui CCM yashika hatamu kwa sasa wao wanafundishwa computer ,internet, contents creation,online marketing so they have less hrs to memorize things
Paranoidwatu waliowekeza kwenye English Mediums hawataipenda hiyo. Itakuwa ni vita. Na kanuni namba moja ya vita inasema " Get money first then go to war. Never go to war without money"
Sina bajeti ya kuwekeza kwenye hiyo vita.
Yaani baba avumilie kusoma SMS zooote izo .hapana hii ni gahawa hiiiMnapoteza pesa zenu tu bure kuwasomesha hawa watoto ambao mnawaita zoomers Generation (Gen Z)
Nimewachunguza hawa watu. Nimeenda hadi chuo kimoja cha kati kusoma kozi ya miezi mitatu ili niwasome hawa viumbe.
They have cut from a very different cloth.
Don't waste your money please.
Wapeleke Kayumba wasimamie vizuri hadi wafikie viwango vya mwisho vya elimu yao ila wafundishe kuhusu skills za maisha...
Kuna brother mmoja mtaani kwetu leo kataka kumuua mtoto wake wa kike(kamsomesha English Medium kuanzia la kwanza hadi la saba) Sekondary anasoma shule ya private hapa mjini ambayo jamaa analipa mamilioni.
Mtoto yupo form two. She was born in 2010..
Jamaa alimnunulia mtoto wake simu (smart phone)kwa ajili ya kuitumia kujisomea, kufuatia ombi la mtoto mwenyewe.
Usiku mtoto aliacha simu kwenye Chaja sebuleni, jamaa alichelewa kurudi nyumbani usiku siku hiyo alirudi saa 7, akakuta simu sebuleni akasema ngoja nitazame nione kama mtoto wangu kuna " vimtu " vinamsumbua.
Alichokutana nacho hakuamini. Meseji anazo chati mtoto na wanaume. Wanafunzi wenzake kwa watu wazima. Mzee kupitia chati ambazo mtoto anachati na wenzake akagundua kumbe mtoto wake kabikiriwa tangu yupo darasa la sita. Na ana ex boyfriend kama watatu hivi na kuna watu wengine ana wafahamu kabisa (vijana wa mtaani wanamuita shemeji)
Mtoto anachati na wanaume zaidi ya kumi kati ya hao zaidi watatu wameshamla kwa nyakati tofauti.. na siku hiyo alikuwa katoka kudinywa na jamaa . Mtoto anamsifia jamaa " mboo yake tamu" na jamaa sio mtoto mwenzake ni bodaboda.
Kuna meseji nyingine za WhatsApp mtoto anachati na jamaa mtoto anamwambia jamaa amtumie picha ya dushe. Jamaa anatuma picha ya dushe mtoto anamwambia hiyo ni ndogo kwake. Jamaa anasema yani nilipoona hiyo meseji nilichanganyikiwa kaka kwa sababu huyo jamaa anae ambiwa dushe yake ndogo Mimi kaizidi yangu mara mbili kwa hiyo mtoto anabeba mizigo mikubwa kuzidi mama yake.
Isingekuwa kwa juhudi zangu jamaa leo mngemsoma kwa Millard Ayo.
Nimekaa nae nimempa somo kuhusu watoto wa kike wa kizazi hiki hadi ameelewa somo. Nimempa na mifano kabisa. Mfano wa kwanza ni binti yangu mwenyewe (kazaliwa 2007) niligundua ana boyfriend wakati yupo form two. Bahati nzuri alikuwa mwanafunzi mwenzake. Na nilimsomesha shule za mamilioni.
Niliukubali ukweli nika move on. Sasa hivi hata akiniambia " baba nataka kwenda Kariakoo kununua urembo" Namwambia nenda lakini uwe umerudi kabla ya saa moja usiku. Na hapo ni saa 2 asubuhi. Najua haendi Kariakoo wala nini. Anaenda kupelekewa moto. Akirudi atafanya kazi za nyumbani siku hiyo kama House girl vile.. Huu ni uhalisia ambao hatuwezi kuukwepa.
Jamaa kakubali kumsamehe mtoto wake ila anamuhamisha anampeleka shule ya kata na leo mtoto anapelekwa hospitali kupimwa kama ana magonjwa makubwa ya kuambukizwa...
Narudia tena wazazi wenye vipato vya kati ambao mna watoto waliozaliwa miaka ya elfu2, msijitese kutumia mamilioni kuwasomesha watoto wenu ENGLISH mediums. Mtaishia kujuta hapo baadae. Mfumo huo wa maisha (kumsomesha mtoto shule ili aje awe mtu fulani sasa hivi sio valid tena)
Hiyo pesa bora wekeza kwenye assets. Msomeshe shule za kawaida. Msimamie. Mfundishe skills za maisha. Utakuja kunishukuru baadae.
Usijitese. Usiache kufurahia kwa sababu eti unatupa hela kwenye akaunti ya Mr. MGETTA in the name of Mgetta English Medium Nursery and Primary School.
Hujazaliwa ili uteseke. Usisahau kuishi. Kuna watu mpaka eti wanauza nyumba ili wawalipie watoto wao English Mediums. Duuh
Shule za English Mediums hazina umuhimu wowote kwenye maisha ya mtoto wako. Umuhimu umetengenezwa na Wamiliki wa shule hizo ili waweze kupata sababu ya kuchukua mamilioni kutoka kwako.
- Mtanzania acha kuji-stress kuwalipia watoto wako mamilioni kwenye shule za English Medium. Kilichomtokea Mr. Ibu kinaweza kukutokea hata wewe
Moderator naomba mu i-pin hii komenti kwenye Uzi wangu please. With much thanks in advanceKATI YA PESA NA ELIME CHAGUA PESA ILA KATI YA AKILI NA PESA CHAGUA AKILI...mzazi mwenye akili uwekeza zaidi katika maendeleo ya mali na pesa kuliko elimu kisha elimu ndiyo inafuatia...ukimwona mzazi anawekeza kwenye mambo ya elimu za bei kubwa wakati familia wanaishi kwenye umasikini ujue huyo ni mpumbavu.
Duh ilikuwa wapi Hiyo Mkuu? Katoto kalikuwa kanasoma English Mediums au Kayumba?Wakuu tupunguze mizaa katika jumbe za kutufanya tupate kitu, watu tuna watoto na tunasomesha.. Huu ujumbe binafsi umeniogopesha sana hii case ya dizaini hii niliwahi kuisikia kwa mama mmoja analalamika kuwa alikakuta ka binti kake ka darasa la 3 kajiingiza vidole katika uchi wake yule mama alikua anakachungulia mlangoni aisee anasema aliishiwa nguvu na vitu alivokua anaviona kwa mwanae mwisho tuongeze umakini katika malezi dunia ya sasa sio kama ile vyakula mitindo ya kuishi ni tofauti kabisa na zamani.