Voda wana mambo ya kifala sana, offer za kishogashoga, hivi saa sita usiku ndo ujiunge bando inaama huna usingizi?, vifurushi eti mb 10,20,30 hahahaaaa tuzo point ndo shida kabisa yaani mlaji ana kazi sana . Serikali mbona mfumuko wa bei kwenye vifurushi vya mitandao ya simu hamuzungumzii? Mwaka wa tano unaenda mishahara haipandi lakini Mb zinashuka huku bei zikipanda kila siku.