kweli kabisa watafilisika wasipoangalia, mnawafaidisha sana wateja yaani Gb 1, masaa mawili kwa buku ? Fanyeni Gb 1 kwa robo saa tuu kama wenzenu wa cambodia wanavofanya.
Voda wana mambo ya kifala sana, offer za kishogashoga, hivi saa sita usiku ndo ujiunge bando inaama huna usingizi?, vifurushi eti mb 10,20,30 hahahaaaa tuzo point ndo shida kabisa yaani mlaji ana kazi sana . Serikali mbona mfumuko wa bei kwenye vifurushi vya mitandao ya simu hamuzungumzii? Mwaka wa tano unaenda mishahara haipandi lakini Mb zinashuka huku bei zikipanda kila siku.
ndugu mtoa mada, tunakumbuka ulifikisha malalamiko yako mezani kwetu na tukakushauri uhamie Airtel maana sisi Vodacom tunampango wa kuvunja mkataba na Tanzania hivyo sasa hivi tunatafuta mtaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.