Nawasilimu kwa jina la Yoav Gallant. Ayatollah sijui yupo shimo gani sasa hivi

Mikwara mbuzi kumtishia ngedere,, mbona gaza ndani ya masaa 24 tu walijibu,, iweje kule iran mpaka leo wanambwela,, sungusungu tu wanamtoa kamasi kule gaza na Lebanon iwe jeshi kamili la iran,, kipindi cha nyuma Kuna watu walikuwa wanasema iran akithubu kurusha jiwe tu Israel basi ndo itakuwa mwisho wake, sasa mwanaume karusha makombora Dunia nzima imeona na hakuna ngedere yoyote alieleta fyoko.
Israel bila marekani ni sawa tu na uso wa babu genge la ukabaji kule kimara bonyokwa.
Elewa neno precise
 
Ukiona hivyo, ujue mitego ya muisrael ya kulipa kisasi Iran ilishategwa miaka mingi sana, walikua wanasuburi Iran ajichanganye. Tusubiri, ni sual la uamuzi tu ila kitakachowakuta naamin hakuna kombora litarushwa kutoka Israel, moto utawawakia ndani kwa ndani
Toka Taifa lilipoanzishwa 1948,adui yenu Irani yupo na mnamwangalia na hamjawahi mfanya kitu,pamoja na kusapitiwa na USA & UK
 
Mikwara mbuzi kumtishia ngedere,, mbona gaza ndani ya masaa 24 tu walijibu,, iweje kule iran mpaka leo wanambwela,, sungusungu tu wanamtoa kamasi kule gaza na Lebanon iwe jeshi kamili la iran,, kipindi cha nyuma Kuna watu walikuwa wanasema iran akithubu kurusha jiwe tu Israel basi ndo itakuwa mwisho wake, sasa mwanaume karusha makombora Dunia nzima imeona na hakuna ngedere yoyote alieleta fyoko.
Israel bila marekani ni sawa tu na uso wa babu genge la ukabaji kule kimara bonyokwa.
Mkuu hawa tumbili bendera fuata upepo kuwaelewa ni kazi ngumu mno.

Kabla Iran hajaishushia kipondo kikali Israel makondoo ya bwana yalikuwa yanasema Iran akithubutu kurusha hata jiwe tu ndani ya ardhi ya Israel basi atakuwa ameingia kwenye mfumo waliokuwa wanasubiri mabeberu.

Cha ajabu kidume halisi cha mashariki ya kati kikarusha drones na makombora yasiyo na idadi kuzichakaza vibaya kambi za kijeshi za Mazayuni bila huruma lakini waliufyata hadi leo.
 
Ukiona hivyo, ujue mitego ya muisrael ya kulipa kisasi Iran ilishategwa miaka mingi sana, walikua wanasuburi Iran ajichanganye. Tusubiri, ni sual la uamuzi tu ila kitakachowakuta naamin hakuna kombora litarushwa kutoka Israel, moto utawawakia ndani kwa ndani
Iran alishaweka wazi, wakipiga watapigwa mara buku
 
View attachment 3120223

Israeli retaliation against Iran will be ‘lethal, precise and surprising’: Minister​

Reuters
Published: 09 October ,2024: 09:40 PM GSTUpdated: 09 October ,2024: 09:43 PM GS
Israeli Defense Minister Yoav Gallant appeared on Wednesday to say that retaliation against Iran for its missile attack will be “lethal, precise and surprising,” in a video published on Israeli media on Wednesday.

After describing Iran’s Oct. 1 missile attack as a failure, Gallant said: “Whoever attacks us will be hurt and will pay a price. Our attack will be deadly, precise and above all surprising, they will not understand what happened and how it happened, they will see the results,” he said.

Hayatola atakuwa kaingia shimo la panya au kakimbilia kwa majirani wao.
 
Mikwara mbuzi kumtishia ngedere,, mbona gaza ndani ya masaa 24 tu walijibu,, iweje kule iran mpaka leo wanambwela,, sungusungu tu wanamtoa kamasi kule gaza na Lebanon iwe jeshi kamili la iran,, kipindi cha nyuma Kuna watu walikuwa wanasema iran akithubu kurusha jiwe tu Israel basi ndo itakuwa mwisho wake, sasa mwanaume karusha makombora Dunia nzima imeona na hakuna ngedere yoyote alieleta fyoko.
Israel bila marekani ni sawa tu na uso wa babu genge la ukabaji kule kimara bonyokwa.
Kila adui wa Israel ana kipimo chake alichowekewa na Israel!
 
View attachment 3120223

Israeli retaliation against Iran will be ‘lethal, precise and surprising’: Minister​

Reuters
Published: 09 October ,2024: 09:40 PM GSTUpdated: 09 October ,2024: 09:43 PM GS
Israeli Defense Minister Yoav Gallant appeared on Wednesday to say that retaliation against Iran for its missile attack will be “lethal, precise and surprising,” in a video published on Israeli media on Wednesday.

After describing Iran’s Oct. 1 missile attack as a failure, Gallant said: “Whoever attacks us will be hurt and will pay a price. Our attack will be deadly, precise and above all surprising, they will not understand what happened and how it happened, they will see the results,” he said.
Yaani Israel kuna watu wanaitikadi kali hadi naogopa.

Unaambiwa kuna huyo Waziri wa mambo ya Ndani, aliwahi kwenda Kwenye lile hakalu lao akataka aingie ndani ikabidi Netanyahu amzuie
 
Sasa hivi siyo Allah na Mudi waoga kama nini. Wamewaingiza mkenge wamekula kona na kuzama chaka.

Sasa hivi ni mkombozi waislam na uislamu siyo mwengine bali ni kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn ali A.S kupitia yeye tumepewa Tawfiq/Tawfeek (the ability and opportunity to succeed) na tuna uhakika wa jannah na firdaus.

Azidi kufanyiwa wepes na aendelee kupewa qauli thabeet.

Mcheki hapo chini kipenzi chetu cha dhati mkombozi wa waislam na uislamu Imaam Hussein Ibn Ali the grandson of the prophet, the son of Ali prophet's cousin, the son of Fatma the daughter of the prophet, the brother to Hassan and father of Imaam Ali A.S peace be upon him maamaee!
View attachment 3120249

Nyonzo bin mvule
Nyau de adriz
Rehema za Mwenyezi Mungu ziwe pamoja naye kipenzi chetu Imaam Hussein ibn Ali.
 
View attachment 3120223

Israeli retaliation against Iran will be ‘lethal, precise and surprising’: Minister​

Reuters
Published: 09 October ,2024: 09:40 PM GSTUpdated: 09 October ,2024: 09:43 PM GS
Israeli Defense Minister Yoav Gallant appeared on Wednesday to say that retaliation against Iran for its missile attack will be “lethal, precise and surprising,” in a video published on Israeli media on Wednesday.

After describing Iran’s Oct. 1 missile attack as a failure, Gallant said: “Whoever attacks us will be hurt and will pay a price. Our attack will be deadly, precise and above all surprising, they will not understand what happened and how it happened, they will see the results,” he said.

God Bless Israel
 
Sasa nimepata picha kamili kwamba,Ile ndege ilivyo mbeba Rais wa Iran na kupiga chini ni Israel ili husika maana hata Mimi najiuliza maswali mengi, how comes?
 
View attachment 3120223

Israeli retaliation against Iran will be ‘lethal, precise and surprising’: Minister​

Reuters
Published: 09 October ,2024: 09:40 PM GSTUpdated: 09 October ,2024: 09:43 PM GS
Israeli Defense Minister Yoav Gallant appeared on Wednesday to say that retaliation against Iran for its missile attack will be “lethal, precise and surprising,” in a video published on Israeli media on Wednesday.

After describing Iran’s Oct. 1 missile attack as a failure, Gallant said: “Whoever attacks us will be hurt and will pay a price. Our attack will be deadly, precise and above all surprising, they will not understand what happened and how it happened, they will see the results,” he said.
Nakumbukia ile speech ya PM Netanyah pale UN, siku ile ile alipohutubia, Na siku hiyo hiyo Nasra, akauwawa

Isije kuwa speech hii ikawa ndiyo yaleyalee..!

Kesho mnaamka mnapata habari za kiongozi mkubwa wa Iran yuko kwa allah akila zake bikira
 
Back
Top Bottom