Nawatafuta hawa viumbe (schoolmates)

Tukaze buti kuzitafuta,then nikipata adrss yake ntakupatia,
ila unaweza kula?,
Maana ni dume!!!
Bado hujalala tu wewe Lulu?au ndio umejikuza ili upate uduma ya pombe bar?ok mamako mzima?mwambie unasalimiwa na anko,akikuuliza tulipokutania mwambie tulikutana dukani ulinvoenda kununua sabuni.
 
Tukaze buti kuzitafuta,then nikipata adrss yake ntakupatia,
ila unaweza kula?,
Maana ni dume!!!

hahaha!...kumbe hii ni jina ya nyama pori!...nisamehe Madame B...lol
 
Bado hujalala tu wewe Lulu?au ndio umejikuza ili upate uduma ya pombe bar?ok mamako mzima?mwambie unasalimiwa na anko,akikuuliza tulipokutania mwambie tulikutana dukani ulinvoenda kununua sabuni.

Mimi mtoto wa geti,situmwi dukani,anaendaga anti...anti Asuu!!! Labda nimpe huyo salamu zako!
 

Du huyo no Tisa labda jukwaa la kikubwa khaa.
 
Mimi mtoto wa geti,situmwi dukani,anaendaga anti...anti Asuu!!! Labda nimpe huyo salamu zako!
Kha!we ntoto wewe.......vibaya vivyo ati...ebu vaa khanga uje unitandikie kitanda kha!umechezwa lini weye "mmakonde"?
 
Huyu no7 namjua,nipe Tigo yako nikuelekeze anapopigia mzigo?
 
Huyu no7 namjua,nipe Tigo yako nikuelekeze anapopigia mzigo?

Tigo yangu inasumbua,majamaa wameichezea sana mpaka wakai-block,
ila ucjali nina mbadala wa Tigo utauweza?
Ila ctak kusikia kidole kimechoka kuperuzi na kudads!!
 
Kwanini umesema hivi bila kuweka sababu? Mie naona sio vizuri kujibu usilolijua. Mbona wewe unajua FB?

Cwez ongea kitu bila kuwa na sababu,
vp au nawe ni mmoja wapo ktk hyo list above?
 
Kuweni makini kubishana na mtoto wako ni jambo la kawaida humu... Na hiz ID zetu....
 
Tigo yangu inasumbua,majamaa wameichezea sana mpaka wakai-block,
ila ucjali nina mbadala wa Tigo utauweza?
Ila ctak kusikia kidole kimechoka kuperuzi na kudads!!
Khaa!leo huendi shule we katoto?
Ebu niletee hilo dodo nilione kama limekomaa,kama bado ntalia ata chumvi kha!umenikosha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…