whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,161
- 2,454
- Thread starter
- #21
maana wanaofahamika ni wajomba tuVizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maana wanaofahamika ni wajomba tuVizuri
Lala mapema kesho ukamfatie maziwa shemeji yako asubuhi😂😂😂😂I, d fake zisikufanye ukawe na dharau huwenda mie baba yako wa kufikia
By the way pole sana mkuu I hope utawapata 😢😢😢Nilizaliwa Simanjiro. Baba alifariki nikiwa bado mdogo (mwaka 2003), na bahati mbaya mama naye alifariki mwaka 2005. Sina ndugu yoyote wa kuzaliwa tumbo moja, labda ingekuwa afadhali.
Mama aliwahi kunieleza kuwa baba alikuwa mzaliwa wa Nachingwea, Lindi, na alifahamika kwa jina la Yahaya Tilika. Sifahamu hata ndugu mmoja wa upande wa baba.
Ingawa sasa nimekuwa mtu mzima na nimeshavuka changamoto nyingi kivyangu, bado ninahitaji kuwapata baba wakubwa/wadogo zangu na mashangazi. Nina imani wapo.
JF Forum ni kubwa na inatukutanisha na watu wenye mawazo tofauti. Kama kuna mtu mwenye ufahamu au mchango wowote wa namna ya kuwapata, tafadhali naomba msaada wako.
Mawasiliano: 0686633597
na iwe hivo mkuu.nahitaji sana kuwafahamu hao ndugu zanguBy the way pole sana mkuu I hope utawapata 😢😢😢
Kuna umuhimu wa kujua umri pia kabla ya kujiunga jf otherwise unaweza kuwa unatukanana na mtu, kumbe mwanao,, niishie hapa.Lala mapema kesho ukamfatie maziwa shemeji yako asubuhi😂😂😂😂
ahsante kwa kuwa muelewa mkuuKuna umuhimu wa kujua umri pia kabla ya kujiunga jf otherwise unaweza kuwa unatukanana na mtu, kumbe mwanao,, niishie hapa.
Wenzako tushamaliza hata PhD😀😀😀 nje ya mada
kwani 2003 wewe ulikuwa na miaka mingapi boss
Naelewa sana maumivu unayopitia ya kua na upande mmoja tu wa familia, inaumaa sana! Ila usijali Mungu mkubwa utawapata ndg wa upande wa baba na mtakuwa kitu kimoja,na siku wakikuona tu watakuona kama marehemu ndg yao karudi tena maana lazima utakua umefanana sana na Marehemu Baba yako!!maana wanaofahamika ni wajomba tu
Pole San a chiefNilizaliwa Simanjiro. Baba alifariki nikiwa bado mdogo (mwaka 2003), na bahati mbaya mama naye alifariki mwaka 2005. Sina ndugu yoyote wa kuzaliwa tumbo moja, labda ingekuwa afadhali.
Mama aliwahi kunieleza kuwa baba alikuwa mzaliwa wa Nachingwea, Lindi, na alifahamika kwa jina la Yahaya Tilika. Sifahamu hata ndugu mmoja wa upande wa baba.
Ingawa sasa nimekuwa mtu mzima na nimeshavuka changamoto nyingi kivyangu, bado ninahitaji kuwapata baba wakubwa/wadogo zangu na mashangazi. Nina imani wapo.
JF Forum ni kubwa na inatukutanisha na watu wenye mawazo tofauti. Kama kuna mtu mwenye ufahamu au mchango wowote wa namna ya kuwapata, tafadhali naomba msaada wako.
Mawasiliano: 0686633597
Mrejesho mzuri chief.habari njema!
leo asubuhi nimepokea simu kutoka nachingwea,kwa mtu aliyejitambulisha kuwa ni diwani
wa kata flani sijaliweka jina kichwani.
anadai kuwa tangazo langu ameliona, na kuna diwani wa kata nyingine pia ameliona na
amesema kuwa ni ndugu yangu.
sijaweza kuzungumza naye kwasababu nilikuwa job kulikuwa na ubize.
nitamtafuta pindi nikipunguza ubize na nitaleta mrejesho.
aahsanteni wana jf kwa kusambaza ujumbe wangu.
asante sana mkuuMrejesho mzuri chief.
Hongerq
ila madam kiukweli mtu akikuangalia harakahara anaweza dhani ni binti wa chuo vile kumbe umri umesogeaKuna umuhimu wa kujua umri pia kabla ya kujiunga jf otherwise unaweza kuwa unatukanana na mtu, kumbe mwanao,, niishie hapa.