Nawatafuta ndugu wa baba yangu

By the way pole sana mkuu I hope utawapata 😒😒😒
 
By the way pole sana mkuu I hope utawapata 😒😒😒
na iwe hivo mkuu.nahitaji sana kuwafahamu hao ndugu zangu
nina uhakika hawahamugi kama ndugu yao alishafariki kitambo
 
Pole kijana, mradi umeanza kuwatafuta utawapata. Siku hizi dunia kiganjani.

Siku nyingine ntarudi kwenye huu uzi na maoni yangu kwako na kwa jamii kwa ujumla.
 
Ila wamama na nyie wadada wasikuizi jitaidini mkiona watoto wameanza kujitambua wape detail zote za baba zao. Unakuta mwanamke amezaa na mtu alafu ata kwao na mwanamme hapajui anachofahamu ni kabila tu.
 
Kweli humu tunawatoto wadogo Mimi mjukuu wangu wa mwisho alizaliwa 2005
 
maana wanaofahamika ni wajomba tu
Naelewa sana maumivu unayopitia ya kua na upande mmoja tu wa familia, inaumaa sana! Ila usijali Mungu mkubwa utawapata ndg wa upande wa baba na mtakuwa kitu kimoja,na siku wakikuona tu watakuona kama marehemu ndg yao karudi tena maana lazima utakua umefanana sana na Marehemu Baba yako!!
 
Pole San a chief
 
habari njema!
leo asubuhi nimepokea simu kutoka nachingwea,kwa mtu aliyejitambulisha kuwa ni diwani
wa kata flani sijaliweka jina kichwani.
anadai kuwa tangazo langu ameliona, na kuna diwani wa kata nyingine pia ameliona na
amesema kuwa ni ndugu yangu.
sijaweza kuzungumza naye kwasababu nilikuwa job kulikuwa na ubize.
nitamtafuta pindi nikipunguza ubize na nitaleta mrejesho.

aahsanteni wana jf kwa kusambaza ujumbe wangu.
******************************************************************
UPDATE

nimefanikiwa kufanya mazungumzo kwa njia ya simu kwa baadhi ya ndugu
%100 ni hao niliokuwa ninawatafuta.
 
Mrejesho mzuri chief.
Hongerq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…