Nawatafuta wanaosutwa na nafsi zao kwa kulisaliti taifa kwa ushabiki wao kwa chama

Nawatafuta wanaosutwa na nafsi zao kwa kulisaliti taifa kwa ushabiki wao kwa chama

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
2,471
Reaction score
3,768
Kama mjuavyo ndugu zanguni wahenga wana msemo wao usemao neno "ningejua huja mwisho wa jambo"

Nimetafakari sana hali ya kimaisha inavyoenenda nikaona kabisa iko haja ya kupitia upya mienendo yetu ya ushabiki wa kisiasa.

Inavyoonekana licha ya unyeti wa majukumu ya kisiasa tunayowakabidhi wanasiasa tunapowapigia kura, kuna watu hufanya hilo jambo kishabiki tu, huku akiwa mbumbumbu kabisa kuhusu mtu aliyemchagua au chama.

Nadhani ndio maana marekani waliweka kura zinaitwa kura za uteuzi (electoral college) ili watu wenye upeo mkubwa wa mambo wachague mtu!

NAOMBA UNGAMA! UNADHANI MAAMUZI YAKO YALIKUWA SAHIHI? AU ULIZINGUA?
 
Back
Top Bottom