Nawatakia asubuhi njema watu wafuatao

Nawatakia asubuhi njema watu wafuatao

>Waliokuwa wagonga kengele (Time keeper)

>Waliokuwa wanaweka mashati yao blue

>Walionyoosha mashati mzingo mstastili kwa nyuma[emoji1787][emoji1787]

>Waliokuwa wapandisha Bendera

>Waliokuwa Monitor na monitress

>Bila kumsahau yule dada nlikaa nyuma yake kwenye mstari akafunga breki ghafla akasema nimembashia[emoji1][emoji1], nikala fimbo kama za RC Mbeya

>Wale tulipinga "hakiombeki"

Tuma salamu zako kwa wale ulisoma nao Primary

Hizo hapo juu zote nilizifanya / zilinihusu kwa nyakati tofauti tofauti....

Wakumbukwe WUTAMBA, AZAJANGWA, JIITEWUTE...
Na wale wote waliokuwa wanaacha chata za majina yao kwenye madaladala hasa siti za nyuma na kwenye kuta za darasa.
 
Mbona kama umesoma sekondari nyingi?? ila najua Azania hujasoma la bda ulikuwa na kajamaa😉😉
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona vipengele vingi sana. Kwa nyakati tofauti tofauti ilikuwa monitress, nimegonga kengele, nimeweka blue, nimepiga bendi nilikuwa kiongozi wa UKWATA
salamu zangu zikufikie popote pale ulipo
asalam aleykum!!! 😀 😀 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom