Nawatakia asubuhi njema watu wafuatao

Hizo hapo juu zote nilizifanya / zilinihusu kwa nyakati tofauti tofauti....

Wakumbukwe WUTAMBA, AZAJANGWA, JIITEWUTE...
Na wale wote waliokuwa wanaacha chata za majina yao kwenye madaladala hasa siti za nyuma na kwenye kuta za darasa.
 
Mbona kama umesoma sekondari nyingi?? ila najua Azania hujasoma la bda ulikuwa na kajamaa😉😉
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona vipengele vingi sana. Kwa nyakati tofauti tofauti ilikuwa monitress, nimegonga kengele, nimeweka blue, nimepiga bendi nilikuwa kiongozi wa UKWATA
salamu zangu zikufikie popote pale ulipo
asalam aleykum!!! 😀 😀 😀 😀 😀
 
Natuma salamu kwa watukutu wote waliotumia vipande vya vioo kutuchungulia tumevaa chupi za rangi gani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…