Nawatakia Kwaresma Njema, Mungu akajibu hitaji lako

Nawatakia Kwaresma Njema, Mungu akajibu hitaji lako

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Kesho mwezi wa toba unaanza, ni kipindi cha kulia, kujuta na kutubu!

Naomba kuchukua nafasi hii kuwatakia mfungo mwema! Na Mungu akajibu Kila lililohitaji jema la moyo wako, kama ni ugonjwa, familia, mahusiano, masomo, changamoto za kiuchumi na mengine, basi Mungu akakuonekanie katika kipindi hiki.

images (42).jpeg


 
¹⁶ Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana ; maana hujiumbua nyuso zao ili waonekane na watu kuwa wamefunga.Amini nawaambia,wamekwisha kupata thawabu yao.

¹⁷ Bali wewe ufungapo jipake mafuta kichwani,unawe uso;

¹⁸ ili usionekane na watu kuwa umefunga ,ila Baba yako; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
 
Kesho mwezi wa toba unaanza, ni kipindi cha kulia, kujuta na kutubu!

Naomba kuchukua nafasi hii kuwatakia mfungo mwema! Na Mungu akajibu Kila lililohitaji jema la moyo wako, kama ni ugonjwa, familia, mahusiano, masomo, changamoto za kiuchumi na mengine, basi Mungu akakuonekanie katika kipindi hiki. View attachment 2526920


Eimeen...

Barikiwa pia mtumishi...

Ngoja nipunguze kiwango cha unywaji wa K Vant kipindi hiki....
 
Tatizo usingizi bila K Vant ndoto zake hazina mashiko
Unaota unakimbizwa, ghafla umefumaniwa, mara uko peponi ile unaanza kufurahi unajikuta kuzimu! Dah tafrani though tupu, ukute umegonga hizi
IMG-20230220-WA0024.jpg
IMG-20230220-WA0023.jpg
IMG-20230220-WA0020.jpg
IMG-20230220-WA0021.jpg
 
Hahahaha... Au unajikuta unagombana na mama kisa hajakuachia kiporo cha wali maharage... Mtu mzima unaota bado uko kwa mama...
Dah mpwa nimekumbuka mbali sana, ile kitu ilikuaga tamu saaaana. Kuna vijana wanakosa hii kitu siku hizi
 
Back
Top Bottom