Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
BarikiwaAmen amen amen
Eimeen...Kesho mwezi wa toba unaanza, ni kipindi cha kulia, kujuta na kutubu!
Naomba kuchukua nafasi hii kuwatakia mfungo mwema! Na Mungu akajibu Kila lililohitaji jema la moyo wako, kama ni ugonjwa, familia, mahusiano, masomo, changamoto za kiuchumi na mengine, basi Mungu akakuonekanie katika kipindi hiki. View attachment 2526920
Hahaha na vingine piaEimeen...
Barikiwa pia mtumishi...
Ngoja nipunguze kiwango cha unywaji wa K Vant kipindi hiki....
Nitajitahidi mkuu, ila kitimoto kitanisamehe...Hahaha na vingine pia
Ikiwa ya kuchoma na asali hii itakua inazungumzikaNitajitahidi mkuu, ila kitimoto kitanisamehe...
Cha msingi iwe usiku baada ya kazi ngumu mchanaIkiwa ya kuchoma na asali hii itakua inazungumzika
Hahaha na usishushie na K-vantCha msingi iwe usiku baada ya kazi ngumu mchana
Tatizo usingizi bila K Vant ndoto zake hazina mashikoHahaha na usishushie na K-vant
Unaota unakimbizwa, ghafla umefumaniwa, mara uko peponi ile unaanza kufurahi unajikuta kuzimu! Dah tafrani though tupu, ukute umegonga hiziTatizo usingizi bila K Vant ndoto zake hazina mashiko
Hahahaha... Au unajikuta unagombana na mama kisa hajakuachia kiporo cha wali maharage... Mtu mzima unaota bado uko kwa mama...Unaota unakimbizwa, ghafla umefumaniwa, mara uko peponi ile unaanza kufurahi unajikuta kuzimu! Dah tafrani though tupu, ukute umegonga hiziView attachment 2527067View attachment 2527068View attachment 2527070View attachment 2527069
Dah mpwa nimekumbuka mbali sana, ile kitu ilikuaga tamu saaaana. Kuna vijana wanakosa hii kitu siku hiziHahahaha... Au unajikuta unagombana na mama kisa hajakuachia kiporo cha wali maharage... Mtu mzima unaota bado uko kwa mama...